Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Kauli ya " kwa akina kasimu' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Sasa umetaja wote wawili mama na hayati wamemdharau Kasim ila conclusion yako nchi haifai kuongozwa na mwanamke, hayati nae alikuwa mwanamke??
 
Kauli ya " kwa akina kasimu' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Itakuwa yeye mwenyewe hajiheshimu ndio maana haheshimiki. Kwanza alipita bila kupingwa. Waziri Mkuu unapitaje kwenye jimbo lako kwa kutegemea mbeleko?
 
Tatizo PM mwenyewe amezidi mno kujikomba kwake wala hajiamni ndiyo maana anampigia kampeni kana kwamba yeye hana uwezo qa kushika nafasi hiyo
Kauli ya " kwa akina kasimu' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
 
Tangu mama alipoingia madarakani hakumtaka Majaliwa ila alitulia kwa kuheshimu cheo chake cha uwaziri mkuu

Kassim mwenyewe hakuamini kama angeendelea baada ya mizengwe aliyohusika nayo na wakina Bashiru baada ya kifo cha Jiwe! Nitashangaa sana kama ataendelea kwani hata Jiwe alikwisha muwashia taa nyekundu!
 
2024 Tukutane hapa Tubadili katiba Rais Samia atawale milele atake asitake. Hakuna kama Rais Samia.
Upuuzi gani huu unausema? Msemo wa kufa kufaana umekaa upande wenu basi mnaona washindi? Haya mambo ni ya muda nature itachukua mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…