lazimNilikuwepo uwanjani lakin nilichokiona, sasa kwenye ITV nimecheka sana na sikukiona live uwanjani
Ni membe anashangiliwa na vijana kwa kuwa rais rais rais ..... akitoka uwanjani amekutana nao nje akafungua vioo nakuwapa mkono huku akitabasamu sanaaaa
nani huyo anasema membe rais? lazima watakua walipombeka sanaaa au walikua wamelewa na ushindi wa yanga
Kwa hali hii kuna kazi sanaaa mpaka 2015
"Wamesikia mvumo tu wameniita wakati bado sijaoteshwa" by membe alipohojiwa.
Ogopa mtu amwonaye TB Joshua ni nabii.Wakati wengine wakisubiri kuoteshwa hizo ndoto, wengine sio tuu waliishaoteshwa siku nyingi, bali pia walipata ufunuo na upako from the man of God, TB Joshua, na sasa wameisha ianza safari kutimiza ndoto zao !.
Jee wewe utainvest kwa nani kati ya yule ambaye tayari ameishaoteshwa na kuianza safari au yule anayesubiri kuoteshwa ?.
Zingatia "moja shika sii kumi nenda rudi!".
Pasco
Rais wa Yanga labda!
EL
DR SLAA hapo swa
Wakati wengine wakisubiri kuoteshwa hizo ndoto, wengine sio tuu waliishaoteshwa siku nyingi, bali pia walipata ufunuo na upako from the man of God, TB Joshua, na sasa wameisha ianza safari kutimiza ndoto zao !.
Jee wewe utainvest kwa nani kati ya yule ambaye tayari ameishaoteshwa na kuianza safari au yule anayesubiri kuoteshwa ?.
Zingatia "moja shika sii kumi nenda rudi!".
Pasco
...kati ya waCCM wasiyo kuwa na uwezo wa kuongoza nchi' Membe ni mmoja wapo.
Pia Membe ana upeo mdogo wa kuelewa mambo na kuimili vishindo vya maCCM wenzake wajanja, mafisadi, wezi wa mali za umma na wala rushwa.
Uozo wake Membe:
Kwanza alete zile pesa alizohongwa yeye na Kikwete walizopewa na Gadafi zilikuwa za nini na wamezilipeleka wapi?
Pia fedha za Rada, yeye na Kikwete wamo! Na chenji ziko wapi? Alitudanganya kuwa atakufa nazo, vipi mbona Kimya? baada ya kuzitia kibindoni yeye na Kikwete!
"Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni?
*Siasa zake za OIC, na Misikitini huko Lindi, ya kuwanunua mashekh ili wampigie makofi, eti ili wamsema vizuri!
Fedha za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi?
Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga?
"Kwa ujumla Membe hata nafasi ya Uwaziri Mkuu hafai..."
"na muda si mrefu kuna kashfa nzito ina mhusu' huyu bw. Membe, kwa kusababisha uzembe mkubwa ambao utasababisha serikali kupata hasara kubwa! Na hii ndiyo itakuwa pigo lake lake mwisho"
Mkuu Frema, hayo ni mambo tuu ya lugha hizi na zile, ila wale wenyewe wameelewa!.Unamaanisha nini mwisho ulipomalizia,
~Membe bado kuoteshwa
~Nani aliyeoteswa sasa!!!