Rais Rafiki wa Rais wetu

Rais Rafiki wa Rais wetu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,559
Reaction score
57,867
Kila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua atashikamana labda na Kagame na mseveni kumbe wala hana hata habari.

Sasa mtu unajiuliza tuna rais wa namna gani ambaye hata marais madicteta wameanza kumtilia shaka anashauriwa na nani kama washauri wa ndani wote wapo kimya juzi kamfuta kazi mshauri wake wa mambo ya sheria? je Rais mshauri wa rais wetu ni nani?

Tanzania tumefika sehemu ya rais wa nchi nyingine kumshutumu rais wetu waziwazi kweli bado tunaamini tupo sawa kama nchi? nchi kama rwanda inazuia magari yetu kwenda kwao tunaona tupo salama,

Mseveni anamshutumu wazi wazi rais wetu sisi tunaona ni sawa tu, nchi rafiki wa kihistoria kama S. Afrika wanatushutumu wazi wazi sisi tunaona sawa tu?

Magufuli nchi rafiki wa Tanzania Ni Nani?
 
Rafiki wa karibu alikuwa motto was Jaramongi lakini juzi naye kamtosa kwa kuwa hashauriki na kasema mbishi sana. Kwa hapa ndani tulidhani huyu anaweza kuwa rafiki, lakini baada ya kuona Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu. Hitimisho ni kuwa hana rafiki
IMG_20200508_221243.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYO JAMAA ANAEKUNYWA DAWA HAPO JUU NI PROFESA??NADHANI AMEINYWA HATA KABLA HAIPIMWA NA MKEMIA WETU
Vipi sheria ya uingizaji dawa nchini inasemaje even though hii ni herbs? Nafikiri TMDA lazima wapate sample, waifanyie uchunguzi kwanza kabla ya kuipitisha ili sasa iingizwe(imported) nchini.
 
Wewe subiri 2090 chadema ikishika nchi mtakuwa na marafiki zenu wale mashoga
CHADEMA ni marafiki na Repulican ambao wanapinga ushoga na CCM Marafiki zao ni Democratic ambao wanaunga mkono ushoga!!

1588966845935.png

Hawa jamaa wawili., Bill Clinton na Barack Obama ni wapiga debe wakubwa sana wa Ushoga huko Marekani.

1588967441920.png
 
Kwani hamumjui kuwa rafiki yake ni PK?
SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.

Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.

Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
 
Hahaha huyu PK mshenzi sana. Yani dunia nzima alimuona mkulu ndio wakuja? 😀😀😀
 
SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.

Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.

Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Du!
Hahahaha!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom