Rais Putin yupo Afrika Kusini, tuone kama ICC watamkamata

Mbona SA walishaweka hili wazi kabisa kuwa sio TU kwamba hawtamkamata ila pia watamuongezea ulinzi maana ni mkuu wa nchi hawezi kamatwa hovyo halafu ICC wao si waende Russia wamkamate mbona yupo au watrack ndege hewani waikamate(Hijack)
Sahih


Waiteke ndege ikiwa angan tena zoez hilo NYETO wanalimudu vizur tu kwa kutumia ndege za mapambano km buku hv ili kuizingira na kuishinikiza kutua ktk eneo wanalolitaka wao


Lkn hv ili Putin afike sauz analazimika kuvuka nchi ngap na ni zip
 
South Afrika wamewachana kabisa NATO, kuwa hawatoruhusu Hilo, kuanzia Chama tawala mpaka upinzani ya Malema kauli Yao ni moja tu kuwa wapo upande wa Putin, kasoro lichama limoja linaloongozwa na mzungu ndo linajifanya kumpinga Putin, puppet mmoja
 
Hebu tujaadiri sisi wenyewe hapa, ni nani anaweza kujitoa muhanga kumkamata Putin?? Yaani kwa mfano ndio wanataka kumkamata, wakati huo walinzi wake wote watakua wamekaa tuuu maandiko yatimie au!? I wish nimwone mtu wa kwanza kumgusa jamaa akidai amekuja kumkamata.
Kumkamata kiongozi mkubwa duniani kama Putin ni ndoto, labda warant ingekua ya viongoz wakiAfrica huku
 
South africa wamempa ulinzi wa kidiplomasia,ila ulinzi ni kwa viongozi wote waliohudhuria mkutano wa BRICS.
Ngoja tuone kama watamdaka kama kina Albashir na laurent Nkunda.
Hawezi kukamatwa tena kama tayari ana kinga ya kidiplomasia.
 
hapo BBC wanajadili kwa lugha ipi..?...manaake tatizo linaweza kuwa liko hapo...., Putin hayuko SA... eleweni hivyo nyie watu...alieko SA ni FM lavrov....na kabla ya kwenda SA Lavrov alipita Kenya, Burundi na Msumbiji...Putin huenda akawepo SA mwezi wa August.....

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Upo nyuma sana mkuu!!....hv kwa akili yako ulikuwa unategemea kuna mtu anaweza kumkamata rais wa russia dunia hii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
HII NCHI INA MAAMUZI MAGUMU SANA KAMA TAIFA KUBWA..
sijui ni viongozi wake, huwa hawachaguliwi upande...!!
Nadhani mandela aliacha spirit
 
Nchi za kijamaa zina biti sana. Kelele kibao action zero
Wakati Nancy akijiandaa kwenda Taiwan mjamaa uchwara(china) alipiga biti USA inacheza na moto! Nancy kafika katua kalala, alivyosepa eti wanaanza mazoezi ya kurusha ndege... pathetic
 
Back
Top Bottom