Nilichogundua Prigozhin ndio mwamba huko anaweza kufanya chochote na wakati wowote Putin asimfanye kitu...wanazunguka zunguka kutafuta suruhu ambayo haipo jamaa kaasi harafu anaishi hapo hapo Moscow zile story za kakimbilia Beralus zilikua za kutunga tu wacha tuone hiyo movies series ya tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.