Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Umemaliza kila Kitu Mkuu, Heko na Topic Closed.Ni aibu kwa faifa kubwa kama Congo kuonewa na nchi kama Rwanda , Congo ilitakiwa iwe kama Russia maana ina Madini ya kutisha kutengeneza silaha
Wewe kwa macho yako unaona Rwanda iko pekeake??karagabaho.Ni aibu kwa faifa kubwa kama Congo kuonewa na nchi kama Rwanda , Congo ilitakiwa iwe kama Russia maana ina Madini ya kutisha kutengeneza silaha
Congo Ni Kama tembo........... Rwanda Ni sisimizi .....how tembo analia kwa sisimiziKatika jitihada za kupinga waasi wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na taifa la Rwanda.
Raia wa DRC waishio jijini Landon wameshambulia msafara sna Raisi wa Rwanda kwa machupa ya maji na mawe huko jioni london.
Heko Wana Mboka
Rwanda si anapewa assist na mabwana zake hapo London na USA 😂😂😂Wewe kwa macho yako unaona Rwanda iko pekeake??karagabaho.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Good idea.Mimi tulianzishe na hako kanchi tukatwae kama donetsk alivyofanya russia
Upo sahihi mkuu.. Rwanda anatumiwa tu, ila na yeye anajinufaisha hapo hapo.. Akienda kuiba kiasi anapeleka Kwa mabwana zake chengine anabaki nacho.Wewe kwa macho yako unaona Rwanda iko pekeake??karagabaho.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna usemi..."Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi"Congo Ni Kama tembo........... Rwanda Ni sisimizi .....how tembo analia kwa sisimizi
SafiKatika jitihada za kupinga waasi wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na taifa la Rwanda.
Raia wa DRC waishio jijini Landon wameshambulia msafara sna Rais wa Rwanda kwa machupa ya maji na mawe huko jioni london.
Heko Wana Mboka
hii ni mara ya pili nakumbukaKatika jitihada za kupinga waasi wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na taifa la Rwanda.
Raia wa DRC waishio jijini Landon wameshambulia msafara sna Rais wa Rwanda kwa machupa ya maji na mawe huko jioni london.
Heko Wana Mboka
[emoji1][emoji1] Congo nae si apewe assist na Russia na China.Rwanda si anapewa assist na mabwana zake hapo London na USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni swala la mda tu kitamshukia kitu kizito huyo msonjo 😂[emoji1][emoji1] Congo nae si apewe assist na Russia na China.