Nilisoma makala inayosoma Rais Obama atawaona mia moja kumi na tano viongozi watoka arobaini na sita nchi za Afrika kusini za Sahara. Watazungumza juu ya uwezo wa kuona mbali katika nchi zao wakati ujao.
Swali yangu ni hii: nani ni viongozi vijana vingine kwamba watu wa kawaida wanaona kama viongozi? Jina kama nani? Ninakaa Merikani na nataka kujua maoni ya Waafrika wa kweli.