Rais Obama Kuwaona Viongozi Vijana vya Afrika ya Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Obama Kuwaona Viongozi Vijana vya Afrika ya Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bibi Amy, Aug 2, 2010.

 1. B

  Bibi Amy Member

  #1
  Aug 2, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hamjambo Watu Wenu,

  Nilisoma makala inayosoma Rais Obama atawaona mia moja kumi na tano viongozi watoka arobaini na sita nchi za Afrika kusini za Sahara. Watazungumza juu ya uwezo wa kuona mbali katika nchi zao wakati ujao.

  Swali yangu ni hii: nani ni viongozi vijana vingine kwamba watu wa kawaida wanaona kama viongozi? Jina kama nani? Ninakaa Merikani na nataka kujua maoni ya Waafrika wa kweli.

  Kiungo cha intaneti: 2010 President's Forum with Young African Leaders

  Asante Jamii!

  Bibi Amy
   
Loading...