PreGE2025 Rais nitakaemchagua!

PreGE2025 Rais nitakaemchagua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wengi wao walikata moto kwa kihoro cha kubaniwa mianya yao ya ulaji, famchezo na Magu weeewe!
kwa hakika walinyooka kabisa japo na yeye alikuwa na mapungufu yake, ila kwa mara ya kwanza watanzania tuliona uwajibikaji
 
Ni kweli lakini anaweza kuwekwa mezani mwenye sifa hizo kwa 70%
Hayo unayosema yanapaswa kufanywa na mtu au ni kama njia (DIRA) ambazo yoyote hata Robot akiingia pale inabidi atekeleze ?

Huenda kosa lingine ni kutemegea mtu ndio aje afanye mambo na kutokuwa na mambo ili mtu aje asimamie, kwahio tunachagua watu wa kutufanyia na sio kuhakikisha na kushiriki katika kufanya yale yanayotakiwa kufanyika kwa mujibu wa Dira ambayo inabidi tushiriki kuitunga; Short, Middle and Long Term...
 
hio dira inaletwa na viongozi wenye nia dhabiti maana maamuzi ya watu yamebebwa na viongozi kwa njia ya uwakilishi, viongozi wa sasa hizo dira hawazitaki.
 
Viongozi na sio kiongozi na watu lazima washiriki / washirikishwe ili waelewe ni wapi wanakwenda na kwanini na alternative ni zipi (bila hivyo ni muendelezo wa watu kuendelea kutumika kama daraja la watu kupita (kupata kura) ili kwenda Kula; by the way hizo kura ni maigizo tu ya kufanya mchezo mzima kuonekana authentic...
 
Back
Top Bottom