Rais ni rais tu hata kama ni dhaifu

Rais ni rais tu hata kama ni dhaifu

tocolyitics

Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
76
Reaction score
35
Leo nimeamini kuwa rais ni rais tu hata kama atapwaya mahali pengi, Madaktari wote wamepigwa mkwara na kurudi kazini faster. hongera presdent, hongera drs.
 
unajihesabu una rais? jana si specialist baada ya kauli yake wakaweka tool down, angekuwa rais si ndo walitakiwa wachape kazi sana. Bora uwe rais watu wakuheshimu kuliko rafiki yako huyu
 
Rais amezima mgomo tena. Madaktari mkajipange upya.
 
Mkuu takolyst,TBC inawadanganya,nimetoka muhimbili leo,kilichopo sio hiki ambacho sirikali inataka ituaminishe!
 
Leo nimeamini kuwa rais ni rais tu hata kama atapwaya mahali pengi, Madaktari wote wamepigwa mkwara na kurudi kazini faster. hongera presdent, hongera drs.

Yeah..hoja ni hoja tu hata kama ni dhaifu kama hii
 
Kama rais ndiye anayetegemewa kuzima mgomo, hakika tujue kuwa system imecolapse! Mhurumieni huyo DHAIFU jamani, atafanya kazi ngapi? Asafiri nje kupitisha bakuli, abembee, amkimbie AlDawi, ahudhuri misiba ya KANUMBA, acheze kiduku, akafanye mazoezi Ngurdoto, aende Loliondo kwa babu mtu huyohuyo mmoja wapi na wapi jamani? Mtu mwenyewe dhaifu!
 
Nadhani inawabidi hata madkt nao wakajitokeza ktk media ili kufunua upande wa pili wa shilingi umma ukajua kwani walio wengi wanachojua kupitia pilisi na serikali ni maslahi tu ndio yanayowafanya wagome ili hali wana madai mengi na ya msingi kabisa.
 
Hiki kimya cha madaktari kitawarudisha nyama............. Tatizo walimtegemea sana mtu mmoja na serikali imeamua kumnyamazisha. Sasa waamue mmoja na watangaze kama wanaendelea na mgomo au wanarudi kazini!!
 
Back
Top Bottom