GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa.

Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa kuunda akanti maalumu ambayo kila mwezi serikali inaweka dola milioni 15 kutoka dola milioni kumi iliyokua ikiwekwa awali ambazo hizo zinatumika katika kulipa madeni hayo.
WhatsApp Image 2025-09-02 at 22.51.38_d5234749.jpg

WhatsApp Image 2025-09-02 at 22.51.41_82bf8b6c.jpg

WhatsApp Image 2025-09-02 at 19.50.19_6ff4f3b9.jpg

WhatsApp Image 2025-09-02 at 19.50.19_2d4db644.jpg
Dk. Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Mjini Unguja wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Bara na Zanzibar.

Amesema, serikali imeiagiza wizara ya fedha kuhakikisha kila mwezi fedha hizo zinaingia katika akaunti maalum ya kulipa mikopo na ndio sababu kubwa ya serikali kuendelea kukopa na kufanya miradi mikubwa ya maendeleo.

Video: Wasafi TV
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa.

Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa kuunda akanti maalumu ambayo kila mwezi serikali inaweka dola milioni 15 kutoka dola milioni kumi iliyokua ikiwekwa awali ambazo hizo zinatumika katika kulipa madeni hayo.

Dk. Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Mjini Unguja wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Bara na Zanzibar.

Amesema, serikali imeiagiza wizara ya fedha kuhakikisha kila mwezi fedha hizo zinaingia katika akaunti maalum ya kulipa mikopo na ndio sababu kubwa ya serikali kuendelea kukopa na kufanya miradi mikubwa ya maendeleo.

Video: Wasafi TV
Hili hata Mtoto anajua hela mtatoa wapi.
 
Of course atamaliza. Anamwambia tu Abdul na Samia leo futeni kiasi hiki, Mfano ni Tanesco kupunguzwa kutoka 300 bilioni hadi bilioni tano.
 
Back
Top Bottom