kapelekwa na TFF?
Ok Kiongozi, uwe na Wakati mzuri, mungu akutie nguvu.hapana watu8 najigharamia mwenyewe,nimekuja kwa ajili ya kufanya annual medical check up,huu ni mwaka wa tano mfulululizo ninafanya hivyo.Ni vyema kukagua afya zetu mara kwa mara na India gharama ni nafuu sana.
Kwa nguvu za Mungu ma dr wasikukute na lolote baya!
hapana watu8 najigharamia mwenyewe,nimekuja kwa ajili ya kufanya annual medical check up,huu ni mwaka wa tano mfulululizo ninafanya hivyo.Ni vyema kukagua afya zetu mara kwa mara na India gharama ni nafuu sana.