Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

Mke hajajifunza kutoka kwa comrade Mugabe?
 
Hahahah
 
At 22 yrs of ageDr Salim Ahmed Salim tayari ni Balozi wa Tanzania MISRI
 
Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.

Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
M7 ni intellectual kiasi chake.
Anasoma vitabu. Anajua tulikotoka na wapi Dunia inaelekea.

Sasa linganisha na kajamaa ketu. Hasomi vitabu. Ujuaji mwingi. Nimeshangaa naye anatoa nukuu siku hizi. Anaamini hakuna asichojua. Ni aina ya akina Idi Amin.

Mwl Nyerere hadi kufikiwa na umauti, bado aliamini kuna mengi ya kujifunza.
 
Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.

Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,


Tunashukuru ila usimlinganishe na mwingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
28 mdogo, mi nalijua ilo na nina 22
 
pamoja na io 22, najiona mkubwa wewe, 28 unasema mdogo shame on you
 
Ongezea hapo at 26 Salim Ahmed Salim was the youngest ambassador! Kwa umri wangu, kazi nazofanya kwaajili ya huduma ya nchi hii na ww mzee mpumbavu havilingani!
Kama unamfahamu huyo ni Mzee haikufaa kumtukana kuwa ni mpumbavu. Huo si ustaarabu
 
Wow!Father of all African Nations tena!Above all Other well known legends like Mwl Nyerere and the likes, are you serious?
 
Hili jambo in mzigo mzito sana ila watu hawajui
Yeye aliyekaa miaka 40 na sisi tunaobadilisha marais kila baada ya miaka 10 kuna tofauti yoyote ya kiuchumi, kisiasa na kijamii?

Sisi tunao mzigo wa kugharamia marais wastaafu Mwinyi, mkapa, kikwete, Karume, Salmini, nk
 
Umesahau kuweka title ya despotic ruler of Uganda of all times
 
Basi hapo unajiona una akili kweli!
Yani Museven ni bora kwako kisa Magufuli? Nyie bora muendelee kupigwa tu
 
sasa 28 unajiona Mdogo? Utajiona mkubwa ukiwa na mingapi?
 
Kwaio unataka kusema wewe una akili sana au?
 
Nikumuona tu PRESSURE inapanda. Huyu ni Mugabe mwingine in the making, hivi ukiacha Munagangwa huko Harare nani mwingine analia kuondoka kwa Babu yetu?
 
Kila kitu tumewazidi labda kwenye kusugua visimi wanaongoza
Siyo kusugua, wao ni hodari wa kuvuta visimi, utakuta wanawake wa kiganda wanavisimi zaidi ya dole gumba kimeziba nanii. Kuachia mpaka aanze kutoa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…