Rais Mursi wa Misri kuzuru marekani.

Rais Mursi wa Misri kuzuru marekani.

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
Akihojiwa na gazeti la new york times Rais Mursi amesema Marekani ni lazima iheshimu tamaduni za nchi za kiarabu. anaitembelea marekani kwa safari ya kikazi.Aidha haijaelezwa wazi itakuwa ni safari ya siku ngapi.Rais mursi aliwahi kuishi Marekani miaka kadhaa iliyo pita na kufanya kazi kama lacture kabla ya kurudi misri.Source bbc.
 
Back
Top Bottom