Rais Mugabe Mungu anakuona..

Rais Mugabe Mungu anakuona..

c2d4c453f0913996ca81cf076889ebe2.jpg
We jamaa mkorofi!...
 
Hmm! Ni hatari lakini salama. Ila siamini kama ni yeye anayeyasema haya, huwa wanamsingizia...
sio yeye bwana ni jamaa flani hivi wa south Africa ndo wanaoperate hizo page zake
alaf ukitaka post nyingine za dizaini hii kuna hizi page za
.
Anne Kansiime Quotes.

.
Jacob Zuma Quotes
.
Robert Mugabe Quotes

zinafanana kidogo na hizo
just for jokes japo kuna baadhi ya quote chache sana ni za kweli
 
Magu lini Mugabe anatia timu Tanzania kukamilisha ziara za madikteta Tanzania? Bila shaka itakuwa funga kazi , the icing on the cake!
 
[QUOTmama.ishah2016, post: 20445115, member: 369779"]Upo?[/QUOTE]
Nipo mama.Niambie
 
Mie hiyo ya pili ndio naifanyia kazi humu humu ndani....hope ntaleta mrejesho soon today.
 
Back
Top Bottom