Rais mugabe atumbuliwa

Na Dhani lengo la WHO limetimia... kumpa stress za uzeeni.!

Mugabe alipaswa aikatae tuzo pale pale... ila paah.. 'cha kike'

Haiwezekani hao Wazungu wampende kiivyo, Rais mzee, tena dikteta, kafukuza wazungu, na anatawala maisha wakati sio mfalme
 
Alifukuza wazungu___naye kimemkuta


Hiyo nafasi wanatakiwa watu walioneemesha Raia wake kama vile GADAFI or KAGAME


Mleta uzi Thank u so Much kwa taarifa!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…