Subiri atawajibu tu
Hahaha kuanzia kwenye uzi ule mwingine!Mda si mrefu nitakupigia endelea kunishobokea kirofa rofa
Nani kakushobokea, nimekuelewesha habari hii imetolewa tangu juzi..wewe umefanya kuirepost..Mda si mrefu nitakupigia endelea kunishobokea kirofa rofa
Sisi wengine tulikuwa hatujui kwa hiyo pongezi kwa mleta mada.Habari tumeipata tangu juzi wewe unapost leo...???
Basi fresh mkuuSisi wengine tulikuwa hatujui kwa hiyo pongezi kwa mleta mada.
Ok sawaKujifanya wewe ni mtoto wa panya wakati mimi ni mtoto wa paka mda si mrefu utakuwa kitoweo
DuuhHuyu jamaa kaanza mambo ya kidenz mda si mrefu nitamunyosha
Walitaka wamuvue nguo wamuache uchi wasepe zaoHonestly mim nmeona kama wamemfanyia udhalilishaj hawa wazungu, They knew from first place madhaifu yake yet wakamnominate then later watu baada ya kuongea wnajifanya kubadil maamuz pumbafu sana hawa WHO
amejichokea xanaNapenda majibu yake. Nasubiri aisee.
Sjui atawajibuje huyu mtu. Hahahahaaa.