1974hrs
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 740
- 536
Hilo ndilo ninalioliona huko mbeleCUF wanajizika bila kujijua. !
Hilo ndilo ninalioliona huko mbeleCUF wanajizika bila kujijua. !
Kama CUF itakufa basi kitakuja chama chengine ambacho ni cha hard liners, CCM watatamani wangewapa CUF madaraka! Believe me.CUF wanajizika bila kujijua. !
Hivi unajua why Solomon Mahlangu alikufa?CUF wanajizika bila kujijua. !
watu ni wengi hadi wanazimia kwa kukosa hewa
Uwanja umejaa mamia bado yapo nje![]()
![]()
![]()
Mkuu hujapata taarifa kuwa waliopiga kura ni 48000 tuu? Hiyo hesabu ya laki tatu ni ya Jecha toka mfukoni kwake.Uwanja umejaa mamia bado yapo nje![]()
![]()
![]()
Acha uzuzu wewe, waliopiga kura zanzibar ni laki 3 tu, walimpa sheni ni laki 2, sasa hata wakija wote hao hawajai uwanja. YAANI KWA UFUPI WALIOPIGA KURA WOTE ZANZIBAR NI SAWA NA WALIOHUDHURIA MKUTANO WA KAMPENI WA LOWASSA PALE JANGWANI
ha ha ha ha ha mkuu umeua, yaani hyo ni idadi ya wale akina mama waliokuwa wamekaa chini pale jangwani siku ya kufunga kampeni.Mkuu hujapata taarifa kuwa waliopiga kura ni 48000 tuu? Hiyo hesabu ya laki tatu ni ya Jecha toka mfukoni kwake.
Ndio maana ndani ya masaa 14 hesabu nchi nzima tayari