Rais mteule ataapishwa siku ngapi baada ya Uchaguzi

Rais mteule ataapishwa siku ngapi baada ya Uchaguzi

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
3,149
Reaction score
2,273
Hamjambo wapendwa?

Rais mteule tutakayemchagua tarehe 25 mwezi huu ataapishwa lini?(Immediately?).Maandalizi yanaendelea Uwanja wa Taifa.Barabara zinawekwa sawa mitaa hiyo.Nawatakieni uchaguzi mwema na wenye amani.Mungu Ibariki TANZANIA
 
Ataapishwa Alhamis ya wiki lijalo......wajua atakuwa nani rais ajaye..? magufuli john yaani najisikia amani na furaha iliyoje kupata
rais mchapa kazi kama yeye.
 
Last edited by a moderator:
Rais anatakiwa kuapishwa katika muda usiozidi siku 7 toka kutangazwa rasmi
 
Back
Top Bottom