Rais mtarajiwa

Anataka kutuaminisha kuwa mkewe kazeeka mpaka hatimizi wajibu.
 
Kama kwa nje kavaa hivi, inawezekana hata c,hup hajavaa... kaamka na hangover...! na akili yake iko kama koti lake
 
Aibu gani hii........kama ni mzembe tu kwenye kuvaa..........nchi ataiweza............?......
 
fundi kazidisha kipimo...
 
Haaa, Mbuga ya Gombe atakubalika.
 
Akili zimevia. Anaiwaza UKAWA tu!
 
Tehe tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe tehe Tehe tehe tehe tehe tehe
 
Mhh utalii utaongezeka may be......:lol::lol:
 
Hii nchi unaeza kuja sikia miak ijayo MPOTO kugombea urais
 
Nimecheka mpaka ofisini wanashangaa kunani.masikini baba wa watu, watoto wake sijui wanajisikiaje wakimuona jinsi baba yao alivyo kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…