Rais mstaafu wa Malawi akamatwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mstaafu wa Malawi akamatwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Janejo, Feb 26, 2009.

 1. J

  Janejo Member

  #1
  Feb 26, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ex-Malawi leader on graft charges

  Bakili Muluzi's supporters say the case is politically motivated ahead of polls
  Ex-Malawian President Bakili Muluzi has been arrested, accused of stealing $11m (£7.7m) in donor money, says the country's Anti-Corruption Bureau.

  The ACB said Mr Muluzi had been charged on 87 counts of allegedly siphoning aid cash into his private account.

  Alex Nampota, the director of the ACB, told reporters the former president would appear in court later.

  Mr Muluzi, a candidate in May polls, denies any wrongdoing and has disputed the legality of the ACB investigation.

  He was arrested after appearing at the bureau in Blantyre on Thursday morning to answer the allegations against him.

  His supporters say the case is politically-motivated to stop him standing in the forthcoming presidential election.

  The inquiry comes amid concern that violence could flare before the forthcoming presidential election.

  'Witch-hunt'

  The former presidents of Mozambique, Joacquim Chissano, and Ghana, John Kufuor, were in Malawi on Wednesday to try to calm tensions.

  Henry Mvula, Mr Muluzi's aide, earlier told the BBC's Network Africa programme the former Malawian president had nothing to hide and dismissed the case as a witch-hunt.

  He said it was "meant to keep someone so busy within the context of the courtroom" in a "typical African way of running away from competition".

  Malawi political analyst Rafiq Hajat told Network Africa: "If a court case is initiated against a candidate, their candidacy is immediately put into doubt. I think the political stratagem is fairly obvious."

  Opposition United Democratic Front leader Mr Muluzi, who was president between 1994-2004, plans to stand against current head of state, Bingu wa Mutharika.

  Mr Mutharika was Mr Muluzi's hand-picked successor but soon after he was elected, the pair fell out and Mr Mutharika formed his own party.

  Source: BBC
   
 2. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du. hii afrika bwana.
  kama alikwapua hela na ashughulikie noma yake.
  lakini kama ni mbinu ya kumnyamazisha, huu utakuwa uonevu na upingwe kwa nguvu zote.
  kama hizo hela hakukwiba sababu ya yeye kufunguliwa mashtaka ni kwasababu ya kutokuwepo na uwazi katika kupokea/kutumia hiyo hela kwa shughuli iliyotakiwa.
  kwasababu haiji akilini kuona kuwa hela ipokelewe kwa taratibu za wazi na iwe alllocated kwashughuli kiuwazi na itumike kiuwazi na proof zote zionyeshe pamoja na kazi iliyofanyika na bado huyo jamaa afunguliwe mashtaka. haiwezekani

  ama kala kweli hela au hakukuwa na uwazi katika matumizi ya hiyo hela. hii inampa nguvu 'adui' yako kukufanya atakavyo.

  usiri hujenga mazingira ya wizi, ubadhirifu na nk.

  atakuwa kayataka mwenyewe. na awe bize kwanza
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ngoja apate kibano kwa sababu viongozi wengi wa Africa wakiwa madaraka wanasahau kwamba kuna kesho. Inawezekana kwamba anaonewa. Ila ajue kuwa wembe alioutumia kuwanyoa wenzake ndio sasa unamnyoa.

  Sina hakika na tuhuma ila kutokana na ukweli niliushuhudia mwenye, Mluzi ni mpuuzi. Yeye aliongoza muda wake ukamalizika sasa anahangaika kurudi madarakani kwa ujanja ujanja. Kibaya ni kuwa hana hata agenda ya kwanini anataka kurudi Ikulu. Nasikia siku moja aliulizwa kuwa malengo yake makubwa hasa ni yapi yanayomfanya kugombea urais, na akajibu kuwa anataka kumtoa rais wa sasa Bingu wa Mutharika!! Hakuweza kujibu akishamtoa atafanya nini? Lakini ukimsikiliza Bingu na pia wananchi, jamaa amefanya mambo makubwa sana. Nilisikiliza hotuba yake kwa taifa may 2008, njemba inaonesha inajua nini inakifanya.

  Ujumbe wangu: Marais walioko madarakani wahangaikie kuweka mifumo endelevu (mfano katiba imara) na siyo kukimbilia ufisadi na ulaghai. Vinginevyo wasubiri kuchungulia milango ya lupango. I think such presidents deserve it!
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Africa Africa kuna nini Africa?kila kukicha ni ufisadi vita vya wenyewe kwa wenyewe,mauwaji ya walemavu,hivi ninani aje atuondolee laana hii? any way kama katafuna kweli sheria ifate mkondo wake,ila maraisi wetu nao wawe makini wakiwa madarakani waafrika wasasa si wale wa kipindi cha ukoloni,
   
 5. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ex-Malawi leader on theft charges
  File pic of Ex-Malawian President Bakili Muluzi
  Bakili Muluzi's supporters say the case is politically motivated ahead of polls

  Ex-Malawian President Bakili Muluzi has been arrested, accused of stealing $11m (£7.7m) in donor money, says the country's Anti-Corruption Bureau.

  The ACB said Mr Muluzi had been charged on 80 counts of allegedly siphoning aid cash into his private account.

  The former president is due to appear at a court in Blantyre, where hundreds of his supporters have gathered.

  Mr Muluzi, a candidate in May polls, denies any wrongdoing and has disputed the legality of the ACB investigation.

  The BBC's Raphael Tenthani in Blantyre says the ex-president was arrested after appearing at the anti-graft bureau on Thursday morning to answer the allegations against him.

  'Right to remain silent'

  He says around 50 armed police and nearly 1,000 supporters of Mr Muluzi, who is not in custody, have gathered outside the magistrates' court in the city.


  I think the political stratagem is fairly obvious
  Rafiq Hajat
  Political analyst

  Muluzi faces moving on

  The former president's lawyer Jai Banda told AFP news agency his client had "exercised his right to remain silent" when questioned by the ACB.

  Mr Muluzi, who ruled the poor southern African nation from 1994 to 2004, was first arrested over the allegations in 2006 but the then-director of public prosecutions threw out the charges.

  His supporters say the case is politically-motivated to stop him standing in the forthcoming presidential election.

  The inquiry comes amid concern that violence could flare before the forthcoming presidential election.

  The former presidents of Mozambique, Joacquim Chissano, and Ghana, John Kufuor, were in Malawi on Wednesday to try to calm tensions.

  President of Malawi Bingu wa Mutharika
  Current Malawian President Bingu wa Mutharika fell out with Mr Muluzi

  Henry Mvula, Mr Muluzi's aide, earlier told the BBC's Network Africa programme the former Malawian president had nothing to hide and dismissed the case as a witch-hunt.

  He said it was "meant to keep someone so busy within the context of the courtroom" in a "typical African way of running away from competition".

  Malawi political analyst Rafiq Hajat told Network Africa: "If a court case is initiated against a candidate, their candidacy is immediately put into doubt. I think the political stratagem is fairly obvious."

  Opposition United Democratic Front leader Mr Muluzi plans to stand in May against current head of state, Bingu wa Mutharika.

  Mr Mutharika was Mr Muluzi's hand-picked successor but soon after he was elected, the pair fell out and Mr Mutharika formed his own party.

  Source: BBC
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Naskia ni Muluzi alimpa pesa jamaa aliyejenga Hotels za Landmark!
   
 7. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkapa wetu je...inawezekana kweli kwa Tanzania kukamata viongozi wazamani wakuu?
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ajabu wananchi badu wanamjali no kumuona ni shujaa asiestahili kukamatwa ndio jamaa walipotupatia jila wafrika.
   
 9. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama kwa malawi na Zambia linawezana hilo, kwanini Tanzania lisiwezekane?

  S.H. Amon (Owner of The Landmark Hotel) ni rafiki wa karibu sana na Muluzi. Alikuwa anapata biashara sana kutoka serikali ya malawi wakati muluzi akiwa madarakani, na alitumia mapesa na muda huo kujenga hotel yake.
   
 10. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160

  anaweza kuwa amenunua kikundi cha walafi wachache ndo wanamzunguka kama wafuasi wake, anaweza kuwa ametumia staili ya chenge, kupokelewa kule bariadi baada ya ule wizi wa rada, au lowasa alipopokelewa mpaka na maaskofu baada ya ule wizi wake wa richmond
   
 11. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa, unajua hata hapa nyumbani pamoja na kwamba tunasuasua siku moja mambo yatawekwa mezani na watu watawekwa ndani kweli.... Hakuna mwizi mwenye zaidi ya arobaini na mwizi ni mwizi tu hata akiwa nani!!!
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  tatizo sio kukamatwa bali tatizo ni morani kumpokea mwizi kwa zulia jekundu ,hapo inaonekana ,bado hamjaelimika katika suala zima la kuwawajibisha viongozi ,tumeona Chenge,tumeona Manvi na hata huyu DC anaejifanya baba na kuwacharaza watoto wake viboko ,bado kuna kutokueleweka juu ya wananchi kupokea uwajibikaji wa kiongozi baada ya kukutwa na shutuma nzito ,jambo ambalo linaisababishia serikali kuona itapoteza wananchi wapiga kura ikiwa watachukua hatua ,inawezekana baanda ya manvi kufukuzwa akahamia Chadema hivyo kupeleka kundi la wapiga kura Chadema ,ila kuwajibika kwa serikali hakuangalii hali hiyo ikiwa tu serikali iliyokuwepo madarakani inakuwa mstari wa mbele na kuhakikisha sehria zinafuatwa mara moja na zinachukua mkondo wake , ila tumekwama kwenye matope ya utawala wa CCM.
   
Loading...