Rais Mstaafu Mwinyi Mahakamani Kisutu

Rais Mstaafu Mwinyi Mahakamani Kisutu

Ni yule aliye pigwa kibao au mwingine?
 
Amsamehe na huyu kama alivyomsamehe yule aliempiga kibao.
 
Huyo ndie Rais msafi, anahakikisha sheria nifuata mkondo wake. Big up Al-Hassan..a.k.a Mzee wa Ruksa.
 
Huyo ndie Rais msafi, anahakikisha sheria nifuata mkondo wake. Big up Al-Hassan..a.k.a Mzee wa Ruksa.

hivi cv yake ya shule inasemaje? Yeye hakubahatika kuwa 'dr' kama huyu wa sasa?
 
Katiba mpya ifute immune kwa Rais!!! Akivurunda tu akiwa madarakani basi akione cha moto. Hii itasaidia kulinda heshima ya nchi pale Rais anapotumia Ikulu kifalme na kujipatia utajiri wa kisiasa na mali!!!!!

mkuu ukiondoa kinga yule mgoni anayependa kuchukua wake za watu kila wiki siatakuwa yupo mahakani kweli atapata muda wa kuwatumikia wanainchi?.
 
Acheni kuleta frustrations zenu hapa na kutaka kuzua zogo lisilo na msingi. Huyu mjumbe katoa tip iliyoshiba na inayojitosheleza ( kwenye uandishi tunasema hii ni kama ame-picth news). Huwezi kuambiwa mtu yupo chooni ukauliza kama anajisaidia au anapika pilau ??? C'mon !!!

Taarifa gani umetoa hapa? Nani ana haja ya kujua gari la Mwinyi limepaki wapi? Watu wanataka kujua anafanya nini au anasema nini kinachohusiana na wananchi. Ndio maana ulipaswa kufuatilia habari kamili ili uweke taarifa iliyoshiba
 
Hatuja chagua rais aende ikulu kuwa vasco dagama- Prof Lipumba
mkuu ukiondoa kinga yule mgoni anayependa kuchukua wake za watu kila wiki siatakuwa yupo mahakani kweli atapata muda wa kuwatumikia wanainchi?.
 
Acheni kuleta frustrations zenu hapa na kutaka kuzua zogo lisilo na msingi. Huyu mjumbe katoa tip iliyoshiba na inayojitosheleza ( kwenye uandishi tunasema hii ni kama ame-picth news). Huwezi kuambiwa mtu yupo chooni ukauliza kama anajisaidia au anapika pilau ??? C'mon !!!

Wewe ndiye umekuja na frusturations zako! Hukuiona mwanzoni so sio kosa lako bali insticts zako zimeku-drive crazy
 
Kuiona mwanzoni nini ? Sisi wewe umemshikia bango Caren kuwa kakurupuka kuleta taarifa na kuwa huna haja ya kujua gari la mwinyi limepaki Kisutu for what ?? Ulifikiri kaenda pale kula ufuta ??

Wewe ndiye umekuja na frusturations zako! Hukuiona mwanzoni so sio kosa lako bali insticts zako zimeku-drive crazy
 
Kuiona mwanzoni nini ? Sisi wewe umemshikia bango Caren kuwa kakurupuka kuleta taarifa na kuwa huna haja ya kujua gari la mwinyi limepaki Kisutu for what ?? Ulifikiri kaenda pale kula ufuta ??

unajua kiherehere cha kutaka kuwa wa kwanza kuweka habari kitawaponza. Kama huna habari acha kuwashwa washwa na kuweka kitu kinachozua maswali. Post yake ya mwanzo haikuwa na habari. Baaaaaadae saaaaana ndio ameenda uokota habari fikrapevu.com na kuboresha post yake. Aliona gari limepaki mahakamani akafanya conclusions ambazo hazingekuwa lazima ziwe sahihi baadae. Kama unamsaidia basi wote wewe na yeye ni wehu!
 
Twasubiri Dec 2015 ifike maana tutsjua mengi na kuwasubiria sana waende kutoa ushahidi au hata kujibu tuhuma zao nyingi sana kwa wakati huo...usimsahau Mamam nae maana yuko active akiwa mwenyewe 'stand alone'sio chini ya kivuli...cha ngao hapana!nae atasimama kama mjasirimali mchumia tumbo

JE, NYUMBA HIZO ZIKO KATIKA ORODHA ZA MALI YA ALLI MWINYI INAYOPATIKANA KWA KAMATI YA MAADILI YA VIONGOZI? Hizo ni za kifisadi ndiyo maana Usala wa Wawakubwa hawakutaka waandishi wawepo na wajue. Mungu anasema yaliyosirini atayaweka hadharani hata waficheje? NDIYO MAANA hatuutaki muungano, waende kwao watuachie nchi yetu.
 
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi, ameibiwa sh milioni 37.4 na hivyo kulazimika kupanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutoa ushahidi wake.

Kwa hatua hiyo, Mzee Mwinyi anafuata nyayo za Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, aliyepanda kizimbani hivi karibuni kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu na Grace Martin.


Mzee Mwinyi ambaye alipanda kizimbani jana, anadai kuibiwa sh 37,440,000 na Abdallah Nassoro Mzombe (39) ambaye ni wakala wake.
Mbele ya Hakimu Mkazi, Genivitus Dudu, mshtakiwa huyo, mkazi wa Kinondoni Mkwajuni, anashtakiwa kwa makosa ya kumuibia Mzee Mwinyi kiasi hicho cha kodi ya pango ya nyumba mbili zinazomilikiwa na Rais huyo mstaafu.

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ambayo Tanzania Daima Jumatano ina nakala yake, Mzombe anadaiwa kufanya makosa hayo kinyume na kifungu cha 258 na 273 (b) (e) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Sura ya 16 ya mwaka 2002.


Siku hiyo ya Agosti 21, mwaka huu, ilidaiwa kuwa kati ya Januari Mosi, mwaka 2011 na Julai 2012 huko Mikocheni, Mzombe akiwa wakala wa Rais huyo mstaafu, alimwibia sh 17,640,000 ambazo ni pato la kodi ya nyumba yake iliyoko eneo la Mikocheni, wilaya ya Kinondoni.
Iliendelea kudai kuwa kiasi hicho cha fedha ambacho Mzombe alimwibia Rais Mwinyi kilikuwa ni kodi ya pango la nyumba namba 481, iliyoko kwenye ploti A huko Mikocheni ya mwaka 2011/2012 na 2012/2013.
 
hivi cv yake ya shule inasemaje? Yeye hakubahatika kuwa 'dr' kama huyu wa sasa?

Walimmpa u Dr wa kubandika @USDM lakini akaupotezea tuu, Huitaji kujipachika vyeo kama Idd Amini ili kuwa Great General mkuu. Umenisoma?
 
Ilidaiwa kuwa kati ya Januari Mosi, 2011 na Julai 2012 huko Mikocheni , Mzombe akiwa Wakala wa rais huyo mstaafu, alimwibia Sh 17,640,000 ambazo ni pato la kodi ya nyumba yake iliyopo eneo la Mikocheni wilaya ya Kinondoni.

Iliendelea kudai kuwa kiasi hicho cha fedha ambacho Mzombe alimwibia Mwinyi kilikuwa ni kodi ya pango la nyumba namba 481, iliyopo kwenye ploti A huko Mikocheni ya mwaka 2011/2012 na 2012/2013.

Mbali na shtaka hilo, pia anadaiwa kuwa kati ya Januari Mosi, mwaka 2011 na Julai 10, mwaka huu huko Msasani Village wilaya ya Kinondoni, mshtakiwa huyo alimwibia tena rais huyo mstaafu Sh 19,800,000 ambayo ilikuwa ni kodi ya nyumba namba 55 iliyopo kwenye Kitalu C .

.


Mwinyi ni mojawapo ya kielelezo cha jinsi Wazanzibar wanavyojineemesha kwa kuwa na mashamba, viwanja na majumba kwa wingi upande wa bara, wakati watu wa bara haturuhusiwi kuwa na namna ya umiliki wa mashamba, nyumba na ardhi kiasi hiki kule Zanzibar, na bado wanasema tunawaonea Wazanzibar. Tukitengana kweli kweli tutataka hili liwe jambo la kwanza kurekebisha.
 
Nimepewa taarifa na shuhuda kuwa Rais Mwinyi amefuata nyanyo za Rais Mkapa kwa kutinga mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi.

Umeandika amefuata nyayo nikajua na yeye ameenda kutetea mafisadi.

Hizi case mbili tofauti kabisa.
 
Wanajuana hao wote wake tu hao kwani huyo mwinyi hajawai kuiba...pumbavuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom