Rais mstaafu Mkapa yu wapi?

Yuko na Yusuph Makamba wanawaandalia magamba wenzao makao ili wawepo na magamba nao waweze kuwepo 2015 baada ya nchi kuchukuliwa na Magwanda!

Hapo kwenye blank nadhani ulitaka kuandika ******

Ha ha na wewe ulitaka uandike M.Mkwe.RE. ? Ebo ? sikuhizi haiandikiki by default humu JF. Natamani hata Wapare. wachaga , Wahaya yangefutwa kama hili.

Sa kaz ipo!
Real mkapa alikuwa powah aliiba kisomi zaid bt awamu ya 4 ndo inafichua mauvu yake 2ache kigoda,meremeta nk
Mmeona dada mkuu alivomuumbua tena kwa kujigawia Ardhi daah!sa mi ope zangu kwa jembe Mkapa znaisha

mnamkumbuka wa nini acheni apumzike -- si mlisema amewaibia kiwira yenu sasa yemewafika shingoni?

punguza hacra kaka,ila kwa mtu mwenye akil timamu anaweza kusema mkapa ni rais pekee alyeweza kumfanya mwananch wa kawaida akaweza kuishi,sh mia tano mtu alpata mlo mmoja,kwa maana hii nusu kilo ya unga sh 150,maharage nusu 125,mchicha sh20-50,chumv sh50,kiberti sh20,kpande cha sabni sh 100,kwa mantiki hii kwanini nisimkumbuke???

Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?

Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!

Nawasilisha

Mkuu, umesahau, JK alisema tumuache apumzike. Kiwira alisharudisha, sasa tunamtafuta wa nini.

Mkuu, umesahau, JK alisema tumuache apumzike. Kiwira alisharudisha, sasa tunamtafuta wa nini.

Watanzania wanamtaka amsaidie JK maana mambo si mazuri,yaani utafikiri......,hebu angalia rais kagame anavyopeleka mambo vzr,na marais wote walioingia kwa mbwembwe kama JK, angalia hali ilivyo: Zuma na Obama

Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?

Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!

Nawasilisha

mkapa jk babamoja mama mbalimbali,,,,,,sion tofaut kwao,mkapa aliuza nchi,na jk anasimamia mauzo

mkapa atakumbukwa kwa mazuri na mabaya,,,,,,,

Jumamosi atakuwa st joseph kwenye graduation'na uzinduz wa stjoseph kuitwa rasmi stjoseph university kutoka stjoseph collage of engineering and technology'tarehe 20/8/11

Mkapa ana wiki sasa yupo shambani kwake Dizungu Mtibwa Turiani anasimamia uvunaji miwa yake katk shamba lake la ekari elfu tano!!!

Kokote aliko huyo ni mwizi aliiba raslimali zetu na kuweka historia kufanya biashara akiwa ikulu

Kweli BWM alikuwa bora kuliko JMK. Kinachofanyika sasa ni wanamtandao kumpaka matope BWM iliwafiche udhaifu wa JK........japo haufichiki.......... Hata wao wanajua...........

Mkapa ana wiki sasa yupo shambani kwake Dizungu Mtibwa Turiani anasimamia uvunaji miwa yake katk shamba lake la ekari elfu tano!!!

hii si kweli BWM hana shamba maeneo hayo. Tuwe wakweli kwani uongo majungu havijengi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…