Rais Mstaafu Mkapa: Rwanda ndiyo nchi pekee barani Afrika kwa sasa yenye Sera nzuri ya Elimu na Afya

Shida yako nini?

..juzi Mzee MKAPA kaandika rambirambi kuhusu kifo cha Mzee Mengi kwa KIINGEREZA.

..Leo anasifia elimu ya Rwanda na kukandia ya Tanzania kwasababu wenzetu wanafundisha kwa Kiingereza.

..kuna kitu mnakitafuta wewe na Mkapa, na soon mtakipata.
 
Kwani hujui kama huyo ni Baba wa uongo duniani? Huo utamu tu wake aliufanya lini na katika nchi zipi?

Acha kuandika upuuzi Mkuu! You’re better than this CRAP.

Na Rais Magufuli katuambia kwenye May Mosi Ya Mbeya kuwa Dunia nzima sie ndio wenye Kikokotoi Bora zaid Duniani kwa Wastaafu
 
Shida ni pale unapoweka UTUTSI mbele.je kwanini isitoshe kutaja WARWANDA? AU ndio unaiandaa tanzania na watanzania kisaikolojia kuwa chini ya dola yenu pendwa ya banyankole
 
Mbona kama vile umeuliza Kondomu Gesti / Loji Mkuu?
 
Sishangai Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa kusema hivi kwa nilijua tu kuwa ni lazima kwa ‘ Genius ‘ kama Yeye basi asingeweza kuacha Kuona na Kusifia mambo mazuri na makubwa hasa ya Kimaendeleo ambayo yanafanywa na Mdogo wake ‘ Kimalezi ‘ alipokuwa Tanzania Rais wa Rwanda Shujaa, Mwamba na Jemedari Mheshimiwa Paul Kagame.

Na pia sishangai tena leo hii Kumuona ‘ Genius ‘ mwingine nchini Tanzania Rais Kipenzi change Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli nae akiendeleza Mahusiano mema na nchi ya Rwanda hasa kupitia Rais wake Kagame kwani ni ukweli usiopingika kabisa kwamba ukitaka Kufanikiwa haraka kama si upesi Kimaendeleo, Kijeshi, Kimbinu, Kiakili na Kimkakati basi kuwa karibu sana na Wanyarwanda hasa wa Kabila zuri, bora na lililobarikiwa kabisa la Tutsi.

Vile vile nampongeza mno na sana Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Yeye kuweza kuwaelewa vyema Wanyarawanda ( hasa Watutsi ) Kuwalea vyema na Kuwajenga zaidi Kisiasa na Kiharakati kiasi cha Kuwafanya Wanyarwanda wote tujione ni sehemu ya Tanzania na tumeifanyia mengi sana Tanzania japo leo hii kuna ‘ Wapuuzi ‘ wachache ama hawalijui au hawalioni hili.

Na ndiyo maana Siku zote Mimi GENTAMYCINE huwa nasema kuwa hakuna Marais ninaowapenda Tanzania kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rais Mstaafu Mkapa na Rais wa sasa Mheshimiwa Dkt. Magufuli na kwa mbali sana Mzee Mwinyi ila kuna mwingine alitaka ‘ Kuharibu ‘ kabisa huu Uhusiano mwema wa Rwanda na Tanzania.

Nilifurahi sana nilipomuona Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa alipokuwa ‘ akiwasilisha ‘ mawazo yake kama ‘ Genius ‘ kutoka Mtwara nchini Tanzania katika Kongamano ‘ Maalum ‘ la Kuijadili Afrika na Maendeleo yake lililofanyika Jijini Kigali nchini Rwanda ambapo Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Thabo Mbeki alipomaliza tu Kuzungumza akampa Kipaza Sauti Mzee Mkapa ambaye sit u kwamba aliimwagia Sifa nchi ya Rwanda bali aliimiminia ‘ Kongole ‘ kabisa kuwa ndiyo pekee barani Afrika yenye Sera nzuri ya Elimu na Afya huku Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paula Kagame akifurahi na Mzee Mkapa akipigiwa Makofi na Wageni wengi waalikwa waliokuwepo pale Ukumbini ambao nao pia walikiri kuwa Rwanda inaziacha nchi nyingi kwa Maendeleo na karibia Wageni wengi wakiupongeza Utawala na Uongozi wa Rais Kagame.

Akhsante sana Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa kwa Kusema ukweli wako huu juu ya Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda. Pia nakuomba mno Rais wa sasa wa Tanzania Kipenzi changu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa endelea Kushirikiana na Rwanda, usiwasikilize ‘ Wapuuzi ‘ na wenye ‘ Chuki ‘ za ‘ Kipumbavu ‘ dhdi ya Rwanda na Rais wake kwani hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere nae pia alikuwa akiwapenda na kushirikiana nao Wanyarwanda hasa katika mambo mazuri, ya Kimaendeleo na yenye Kutumia mno Akili / Fikra nyingi na alisema Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia.

Nawasilisha.
Yeye alipokuwa Rais alifanya nini zaidi ya kutuonyesha kiburi? Ndo huyuhuyu aliyemuweka Sumaye kwenye nafasi ya PM wakati akijua hakuwa na kitu kichwani. Kiburi tuuuu utadhani alichanguliwa ili kukomoa watu. Mwambie, NYAMAZA!
 
Anayemchukia Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Mkapa lazima tu atakuwa na matatizo ya Akili na Mwendawazimu wa Kutukuka.
 
Ubaguzi ni ujima uliokithiri. Wa Nazi wa Ujerumani ya Hitler walijiona ni super race kwa sababu ya urefu na nywele za njano. Hawa kigezo chao ni urefu wa pua!
 
Hao ndio Watz,yaani raisi mtaafu anatoa maoni kama hayo huku akijua wao ma ccm ndio walioharibu mitaala ya elimu na kuifanya elimu ya Tanzania kuwa ya kichekesho kati ya mataifa yanayotuzunguka kisha na yeye anashangaa.
 
Sishangai Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa kusema hivi kwa nilijua tu kuwa ni lazima kwa ‘ Genius ‘ kama Yeye basi asingeweza kuacha Kuona na Kusifia mambo mazuri na makubwa hasa ya Kimaendeleo ambayo yanafanywa na Mdogo wake ‘ Kimalezi ‘ alipokuwa Tanzania Rais wa Rwanda Shujaa, Mwamba na Jemedari Mheshimiwa Paul Kagame.

Na pia sishangai tena leo hii Kumuona ‘ Genius ‘ mwingine nchini Tanzania Rais Kipenzi change Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli nae akiendeleza Mahusiano mema na nchi ya Rwanda hasa kupitia Rais wake Kagame kwani ni ukweli usiopingika kabisa kwamba ukitaka Kufanikiwa haraka kama si upesi Kimaendeleo, Kijeshi, Kimbinu, Kiakili na Kimkakati basi kuwa karibu sana na Wanyarwanda hasa wa Kabila zuri, bora na lililobarikiwa kabisa la Tutsi.

Vile vile nampongeza mno na sana Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Yeye kuweza kuwaelewa vyema Wanyarawanda ( hasa Watutsi ) Kuwalea vyema na Kuwajenga zaidi Kisiasa na Kiharakati kiasi cha Kuwafanya Wanyarwanda wote tujione ni sehemu ya Tanzania na tumeifanyia mengi sana Tanzania japo leo hii kuna ‘ Wapuuzi ‘ wachache ama hawalijui au hawalioni hili.

Na ndiyo maana Siku zote Mimi GENTAMYCINE huwa nasema kuwa hakuna Marais ninaowapenda Tanzania kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rais Mstaafu Mkapa na Rais wa sasa Mheshimiwa Dkt. Magufuli na kwa mbali sana Mzee Mwinyi ila kuna mwingine alitaka ‘ Kuharibu ‘ kabisa huu Uhusiano mwema wa Rwanda na Tanzania.

Nilifurahi sana nilipomuona Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa alipokuwa ‘ akiwasilisha ‘ mawazo yake kama ‘ Genius ‘ kutoka Mtwara nchini Tanzania katika Kongamano ‘ Maalum ‘ la Kuijadili Afrika na Maendeleo yake lililofanyika Jijini Kigali nchini Rwanda ambapo Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Thabo Mbeki alipomaliza tu Kuzungumza akampa Kipaza Sauti Mzee Mkapa ambaye sit u kwamba aliimwagia Sifa nchi ya Rwanda bali aliimiminia ‘ Kongole ‘ kabisa kuwa ndiyo pekee barani Afrika yenye Sera nzuri ya Elimu na Afya huku Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paula Kagame akifurahi na Mzee Mkapa akipigiwa Makofi na Wageni wengi waalikwa waliokuwepo pale Ukumbini ambao nao pia walikiri kuwa Rwanda inaziacha nchi nyingi kwa Maendeleo na karibia Wageni wengi wakiupongeza Utawala na Uongozi wa Rais Kagame.

Akhsante sana Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa kwa Kusema ukweli wako huu juu ya Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda. Pia nakuomba mno Rais wa sasa wa Tanzania Kipenzi changu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa endelea Kushirikiana na Rwanda, usiwasikilize ‘ Wapuuzi ‘ na wenye ‘ Chuki ‘ za ‘ Kipumbavu ‘ dhdi ya Rwanda na Rais wake kwani hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere nae pia alikuwa akiwapenda na kushirikiana nao Wanyarwanda hasa katika mambo mazuri, ya Kimaendeleo na yenye Kutumia mno Akili / Fikra nyingi na alisema Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia.

Nawasilisha.
Damu ya Habyerimana inamtafuna PAKA time will tell, ukiua kwa upanga nawe ni lazima umalizwe na upanga!
 
'PAKA' alileta WANYARWANDA KAMA 200 HIVI KUSOMA UDSM! SEMESTER YA KWANZA WAKALA sup karibu robo tatu !
Sasa huu ndio unaitwa uzushi. Wanyarwanda wamekua wakija kusoma UDSM tokea miaka ya 1970's na watanzania wakiwa wanaenda Rwanda kusoma kwa exchange student program. Wewe unataka ionekane kana kwamba wanyarwanda wameanza kuja kusoma baada ya Kagame kuwa rais. Si kweli. Eti robo tatu wamekula "sup". Nonsense.
 
PUNGUZA POVU MKUU !

RELAX
 
Niruhusu ninukuu sentensi zako mbili tu, ambazo ni: "Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda "
"Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia"

Kwa maelezo hayo
umedhihirisha uchu wako/wenu wa kutawala Afrika kwa vile nyie mmebarikiwa na pili ni waisrael wa Afrika.
Kama hivyo ni sahihi kama nilivyokueleza, nawatakia kila la heri. Ila jaribu kumalizana kwanza na Museveni, kwani nilimsikikia Kagame Povu likimtoka akisema hampigii magoti Museveni huku Maelezo yake yakionyesha akitoa machozi na kumpigia magoto Museveni na kumuomba amuache atawale kidogo.

Kwa hiyo kabla hamjafikiri kutawala Afrika anzani kutawala Uganda. Na hapo kuna moto mkali.
 
Nimefurahi sana kama siyo mno jinsi ulivyomjibu huyo ' damn FOOL ' Mkuu.

Cc: Ukana Shilungo
 
Niruhusu ninukuu sentensi zako mbili tu, ambazo ni: "Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda "
"Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia"

Kwa maelezo hayo
umedhihirisha uchu wako/wenu wa kutawala Afrika kwa vile nyie mmebarikiwa na pili ni waisrael wa Afrika.
Kama hivyo ni sahihi kama nilivyokueleza, nawatakia kila la heri. Ila jaribu kumalizana kwanza na Museveni, kwani nilimsikikia Kagame Povu likimtoka akisema hampigii magoti Museveni huku Maelezo yake yakionyesha akitoa machozi na kumpigia magoto Museveni na kumuomba amuache atawale kidogo.

Kwa hiyo kabla hamjafikiri kutawala Afrika anzani kutawala Uganda. Na hapo kuna moto mkali.

Uganda ipo Uchi / Mtupu kwa Rwanda na hilo hata Rais Museveni analijua na kama kuna nchi ambayo inaweza Kuipiga Uganda Kiurahisi sana na muda wowote basi ni Rwanda. 75% ya Majasusi ( Intelligence Officers / Spies ) wa Uganda huko Jeshini ( UPDF na CMI Kwake ) bila kusahau kule katika Idara zake za ISO na ESO ni Wanyarwanda watupu tena wenye Asili ya Kabila la Tutsi. Tunamuheshimu tu Mzee Rais Museveni kwakuwa ametulea, ametulinda na kututoa mbali ila tukimuamulia ni jambo la Sekunde au Dakika tu anaikimbia Uganda na Uganda ghafla inakuwa Mali ya Rwanda. Muulize Rais wako Mstaafu Nguvu ya Rwanda kwani alitaka Kulianzisha nasi tukamwambia atawatesa bure Wananchi wake na Kujuta kisha akanywea / akaufyata.
 
Niruhusu ninukuu sentensi zako mbili tu, ambazo ni: "Taifa bora na ‘ lililobarikiwa ‘ kabisa la Rwanda "
"Taifa hili la Rwanda lipewe Heshima yake kwani ndiyo linaenda kuwa ‘ Israeli ‘ ya Afrika na kweli ‘ Utabiri ‘ wake huo sasa umetimia"

Kwa maelezo hayo
umedhihirisha uchu wako/wenu wa kutawala Afrika kwa vile nyie mmebarikiwa na pili ni waisrael wa Afrika.
Kama hivyo ni sahihi kama nilivyokueleza, nawatakia kila la heri. Ila jaribu kumalizana kwanza na Museveni, kwani nilimsikikia Kagame Povu likimtoka akisema hampigii magoti Museveni huku Maelezo yake yakionyesha akitoa machozi na kumpigia magoto Museveni na kumuomba amuache atawale kidogo.

Kwa hiyo kabla hamjafikiri kutawala Afrika anzani kutawala Uganda. Na hapo kuna moto mkali.
MKUU USIHANGAIKE NA HUYO MKIMBIZI !

HAISHI KUMSIFIA 'PAKA' NA RWANDA INAYOIBA MADINI CONGO.

PAKA ANA MDA MFUPI SANA,

SIO MDA MREFU GENERAL KAYUMBA NYAMWASA ATASHIKA UONGOZI.

SIKU HIYO NDIYO GENTAMYCINE ATAJINY.E.A

M7 SIO MTU WA MCHEZO NA CORRABO YA MUSEVENI NA NKURUNZNZA HAITAMWACHA SALAMA.

PLEASE MUSEVENI NA MKURUNZINZA FANYENI HIMA MRUDISHENI General KAYUMBA NYAMASWA
 
Back
Top Bottom