Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete afiwa na kaka yake

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Mzee Selemani Mrisho Kikwete amefariki Leo nchini India alipokwenda kwenye matibabu.

Mzee Seleman ni kaka mkubwa wa mheshimiwa rais aliyepita ndugu Jakaya M.kikwete.

Tunapenda kutoa salam za pole na rambirambi kwa ukoo wa kina Kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito kwao.

Innah lillah wainah iraijrajiun
 
Mzee seleman ni kaka mkubwa wa mheshimiwa rais aliyepita ndugu jakay M.kikwete.

Tunapenda kutoa salam za pole na rambi rambi kwa ukoo wa kina kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito kwao.

Innah lillah wainah iraijrajiun
Poleni wafiwa
 
Poleni sana wafiwa na Mungu awatie nguvu kuikabili hali ya msiba.
Inaonekana kwa sasa wanaoingia Muhimbili zaidi ya 98% wanatoka na kuendelea na shughuli zao lakini India hii inaelekea sio ile tuliyoijua!
 
Mzee Selemani Mrisho Kikwete amefariki Leo nchini India alipokwenda kwenye matibabu.

Mzee Seleman ni kaka mkubwa wa mheshimiwa rais aliyepita ndugu Jakaya M.kikwete.

Tunapenda kutoa salam za pole na rambirambi kwa ukoo wa kina Kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito kwao.

Innah lillah wainah iraijrajiun
familia hii inapotelea india juzi kati si dadake aliaga hukohuko pole kaka jk
 
Mzee Selemani Mrisho Kikwete amefariki Leo nchini India alipokwenda kwenye matibabu.

Mzee Seleman ni kaka mkubwa wa mheshimiwa rais aliyepita ndugu Jakaya M.kikwete.

Tunapenda kutoa salam za pole na rambirambi kwa ukoo wa kina Kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito kwao.

Innah lillah wainah iraijrajiun
msiba utakuwa wapi tuweze kwenda kumhani mkuu wetu
 
Muheshimiwa Rais mstaaf Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete pamoja na familia yako nawapa pole na kumuomba Mola awape faraja na uvumilivu wakati huu mgumu mnaopitia.

Pumzika kwa Amani mzee Selemani
 
Back
Top Bottom