GPTZ
Member
- Sep 27, 2015
- 84
- 24
Wakuu Nasikiliza radio sauti ya America kwamba viongozi wa umoja wa nchi za Afrika Mashariki wamemteua Mh Benjamin Mkapa kusuluhisha mgogoro wa Burundi.
Hivi kwa jinsi mgogoro ulivyo huyu mheshimiwa anaweza kuumaliza kweli?
Je, wameangalia vigezo gani mpaka wakamteua huyu mzee?
Najua JamiiForums wapo watu wenye data nyingi za Nchi zetu hizi.
Karibu