Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

Wananchi wanalalamika, rais analalamika wakati ana nyenzo zote za kuadabisha wanaomsababiahia aonekane dhaifu.....
Mie nasema aendelee tu kuwarembulia wajanja wamnyooshe.... mitaani anaonekana yeye ndio dhaifu...
 
Ukisema awamu ya tano
Yeye unamtoaje hapo
Waziri mkuu unamtoaje hapo
Waziri mpango ,ambae kwa sasa ni makamo wa rais unamtoaje hapo
Ni ikithibitishwa ya kuwa huo ufisadi ulianzia awamu wa tano serikali nzima inatakiwa ijiudhuru kwa sababu ni sehemu ya hiyo serikali iliyopita ....tafakuri kwanza kabla aujatoa maoni yako

Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
Hv watu mnajitoa ufahamu sana naona. Hv unajua nguvu ya Raisi aliyopewa na katiba nchi hii au mnajisahaulisha. Kama Raisi hashauriki na akaamua kuchukua maamuzi ujue hata makamu wa Raisi Hana la kufanya.
 
Huyu sio rais bali ni stooge
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?

Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.

Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa pamoja tumekukabidhi wewe mamlaka yote lakini bado unalia lia tu kama mtu mwingine wa kawaida?

Wamachinga wanabomolewa vibanda unalia! Ati sikuagiza wabomoe nahujumiwa!

Ufisadi bandarini huchukui hatua! Ati kuna watu wanakuhujumu!

Ukiletewa kero za wananchi unaishia tu kusema "HILI TUNALICHUKUA TUTALIFANYIA KAZI".

Wananchi hawapendi uzembe uzembe. Wanahitaji Kiongozi anayechukua hatua za makusudi kutatua changamoto na kuendesha nchi!

Mara ooooh tunaunda tume, tutaangalia, tuko kwenye mkakati kabambe, sijui upembuzi... mara nahujumiwa....

Utalia mpaka lini? Mimi nafikiri ni wakati sasa mama yetu akumbushwe kwamba yeye ndio Rais wa nchi.

Vinginevyo tuamini kwamba amenyang'anywa mamlaka yake na watu tusiowajua!

Huyu ni stooge ya rais mstaafu wa awamu ya nne
 
Ukisema awamu ya tano
Yeye unamtoaje hapo
Waziri mkuu unamtoaje hapo
Waziri mpango ,ambae kwa sasa ni makamo wa rais unamtoaje hapo
Ni ikithibitishwa ya kuwa huo ufisadi ulianzia awamu wa tano serikali nzima inatakiwa ijiudhuru kwa sababu ni sehemu ya hiyo serikali iliyopita ....tafakuri kwanza kabla aujatoa maoni yako

Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
Kwani nimewatoa au kuna sehemu nimewaweka mbali na ufisadi huo hao uliowataja?
 
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?

Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.

Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa pamoja tumekukabidhi wewe mamlaka yote lakini bado unalia lia tu kama mtu mwingine wa kawaida?

Wamachinga wanabomolewa vibanda unalia! Ati sikuagiza wabomoe nahujumiwa!

Ufisadi bandarini huchukui hatua! Ati kuna watu wanakuhujumu!

Ukiletewa kero za wananchi unaishia tu kusema "HILI TUNALICHUKUA TUTALIFANYIA KAZI".

Wananchi hawapendi uzembe uzembe. Wanahitaji Kiongozi anayechukua hatua za makusudi kutatua changamoto na kuendesha nchi!

Mara ooooh tunaunda tume, tutaangalia, tuko kwenye mkakati kabambe, sijui upembuzi... mara nahujumiwa....

Utalia mpaka lini? Mimi nafikiri ni wakati sasa mama yetu akumbushwe kwamba yeye ndio Rais wa nchi.

Vinginevyo tuamini kwamba amenyang'anywa mamlaka yake na watu tusiowajua!
Wahuni leo mtalala na viatu
 
Tunashindwa kuwa na msimamo tunataka nini hasa sisi Watanzania. Magufuli alikuwa mkali na wakati mwingine anatumbua watu hovyo. Tukalalamika ooh! anatumbua watu hovyo, bila kufuata utaratibu. Haya amekuja mama hatumbui watumishi hadharani hovyo, ili kuruhusu uchunguzi ili mtu akitumbuliwa awe ametumbuliwa kwa haki. Haya hao tena tumeshaanza kumsema.
Kuongoza watu ni kazi ngumu sana. Ni rahisi kuongoza wanyama kuliko kiumbe anaitwa binadamu. Ufanye au usifanye mema utashutumiwa tu.
Waliokuwa wanapinga ni machadema, wazee wa kupinga kila kitu
 
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?

Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.

Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa pamoja tumekukabidhi wewe mamlaka yote lakini bado unalia lia tu kama mtu mwingine wa kawaida?

Wamachinga wanabomolewa vibanda unalia! Ati sikuagiza wabomoe nahujumiwa!

Ufisadi bandarini huchukui hatua! Ati kuna watu wanakuhujumu!

Ukiletewa kero za wananchi unaishia tu kusema "HILI TUNALICHUKUA TUTALIFANYIA KAZI".

Wananchi hawapendi uzembe uzembe. Wanahitaji Kiongozi anayechukua hatua za makusudi kutatua changamoto na kuendesha nchi!

Mara ooooh tunaunda tume, tutaangalia, tuko kwenye mkakati kabambe, sijui upembuzi... mara nahujumiwa....

Utalia mpaka lini? Mimi nafikiri ni wakati sasa mama yetu akumbushwe kwamba yeye ndio Rais wa nchi.

Vinginevyo tuamini kwamba amenyang'anywa mamlaka yake na watu tusiowajua!
Acha mfumo dume

Samia chapa kazi!
 
Hiyo awamu ya nyuma hakukua na huu ujinga ujinga wa sasa pia.. akubali tu yuko dhaifu...
Hili kundi la wapigaji akina malope tutakoma na hayo malengo yao,maadam viatu ni vikubwa,Mungu atuepushe na mateso haya bei za mafuta,vitu madukani bei zimepaa.
 
Wananchi wanalalamika, rais analalamika wakati ana nyenzo zote za kuadabisha wanaomsababiahia aonekane dhaifu.....
Mie nasema aendelee tu kuwarembulia wajanja wamnyooshe.... mitaani anaonekana yeye ndio dhaifu...
Mfano mdogo tu ni yule aliemuita "nonsense" mpaka sasa yupo ofisini.
 
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?

Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.

Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa pamoja tumekukabidhi wewe mamlaka yote lakini bado unalia lia tu kama mtu mwingine wa kawaida?

Wamachinga wanabomolewa vibanda unalia! Ati sikuagiza wabomoe nahujumiwa!

Ufisadi bandarini huchukui hatua! Ati kuna watu wanakuhujumu!

Ukiletewa kero za wananchi unaishia tu kusema "HILI TUNALICHUKUA TUTALIFANYIA KAZI".

Wananchi hawapendi uzembe uzembe. Wanahitaji Kiongozi anayechukua hatua za makusudi kutatua changamoto na kuendesha nchi!

Mara ooooh tunaunda tume, tutaangalia, tuko kwenye mkakati kabambe, sijui upembuzi... mara nahujumiwa....

Utalia mpaka lini? Mimi nafikiri ni wakati sasa mama yetu akumbushwe kwamba yeye ndio Rais wa nchi.

Vinginevyo tuamini kwamba amenyang'anywa mamlaka yake na watu tusiowajua!
Pumzi imekata

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom