'Rais' Miss Utalii ameiaibisha Tanzania!

Nimekuwa nikimfuatilia vizuri Chips kwa kweli hana uwezo wa kundesha Miss Tourism..inaboa siyo wabunifu... ujinga mtupu. kama ameamua kuwa bondia kwenye mashindano naona inadhihirisha!!!
 
Anafaa kuandaa mashindano ya ndondi na siyo u-Miss!!! hata sijui ilikuwaje akapewa kuwa muandaaji mkuu wa hili shindano..
 
Nimesikitishwa kusoma na kuona habari katika picha katika gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa saba (7) Rais wa Miss Utalii, Gidion Chipungahelo akipigana na mmoja wa Majaji wa Shindano hilo kwa kutaja mshindi tofauti.

Miss Utalii kama lilivyo shindano hilo ni moja ya njia za kutangaza utalii nchini na nje ya nchi sasa kama utalii unageuka kuwa masumbwi na sehemu ya kudhalilisha kuna haja ya kuendelea kuwapo?

Hapo rushwa ya ngono ilichukua nafasi yake TAKUKURU wafanye kazi yao mara moja.
 
Anafaa kuandaa mashindano ya ndondi na siyo u-Miss!!! hata sijui ilikuwaje akapewa kuwa muandaaji mkuu wa hili shindano..

Chezea watu na investment zao!!!Hajapewa na mtu bali alijipa..ht ww unaeza kuanzisha miss daladala mfano afu ukajiita mkurugenzi,rais,founder,chairman of the board of directors,chief judge,chairman of the organising committee and country director of int‘l affiliation and world representative of daladala pageants!!
 
Back
Top Bottom