Rais Mh. Dr. John Pombe Magufuli unamanisha nini katika hili?

Kama wewe ulivyojenga Magereza ya Siri ya kumfunga mkeo asigawe peremende.
limbwata la Daud bashite na njaa zako zimekutoa Akili zote hutaki kuwakosoa kwa udhalimu wao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Itamchukua muda mwingi na gharama kubwa kuwa kama role models wake kina Kagame na Museveni
 
Bila shaka wanajamvi mko salama, kwakweli nimefuatilia sana kauli za mkuu wetu wa nchi kwa muda mrefu na leo naomba niongee yafuatayo. Hakuna ubishi kua tangu Mh. Magufuli tangu uapishwe kua rais wa nchi hii na badae mwenyekiti wetu wa CCM kuna mambo umefanya vizuri lakini kuna mengi kweli umeharibu sana.Leo naomba nijikite kwenye kauli zako ambazo unatamka dhidi ya watanzania wenzako ingawa ata huku nyuma uliwai kutamka tu nyingi. Sina haja ya kuzirudia zote kama kule Kagera ila kauli uliyotoa Zanzibar na jana kuhusu vyombo vya habari zimetuangusha sana kama Taifa mbele ya majirani na marafiki zetu. Sikuona haja ya Mh. Rais kutoa kauli yenye vitisho dhidi ya raia wako ulio waomba kura ili uwatumikie.Unaposema kua hamna freedom ya hivyo moja kwa moja kumbuka unaivunja katiba ya nchi yetu ambayo uliapa kua utailinda ingawa mpaka leo bado una imani kua katiba sio kitu mbele yako .
Mh. Rais kuna mambo ambayo unabidi ujikumbushe au ukumbuke ....mfano vyombo hivi hivi vya habari ndivyo vimetumika kukutafutia kura na kukunadi wewe lakini vyombo hivi hivi ndio njia rahisi unayo itumia kupereka ujumbe kwa watanzania.
Kumbuka pia sio rahisi na jambo ili aliwezekani kua kila siku habari iwe ni wewe tu au mawazo na habari unazo zipenda wewe...ata DJ ana miziki anayoipenda yeye lakini akiwa kazini analazimika kucheza miziki inayopendwa na wataje.
Mwisho Mh. Rais nakukumbusha kua Taifa ili ni zaidi yako na mimi .Tusifanye au kutamka kauli za kuliangusha Taifa maana limejengwa kwa nguvu kubwa.Badirika mkuu kwa maslahi ya Taifa ili Tanzania.
Mheshimiwa Rais naona wa Tz wanatumia muda mwingi sana mitandaoni kuliko "hapa kazi tu".
Uliliwekea msimamo la muda wa kunywa pombe,na hili la mitandaoni liwekewe muda.
Tumeshaji-tune kwa la muda wa kwenda bar,tusaidie na hili pia la ku-like mitandaoni. Linataka kuwa out of hand sawa na la viroba lilivyo kuwa.
Hebu Mpe assignment waziri na watendaji wake. Muda unaotumika mitandaoni ni mwingi mno. Hata ufanisi pia ktk majukumu ya wanaoitumia unashuka.

Mtu akianzisha topic mitandaoni wanaoichangia ni wengi mno kwa muda mfupi.

Wakifungiliwa access baadae ya SAA za kazi tu tutakuwa na michango mizuri pia itakuwa ni mbadala wa kulewa pombe bar hivyo kutumia muda vizuri baada ya kazi.

Nimetoa mawazo yangu kwa nia njema kwa nchi yangu.
 
mimi tokea nilipomuona kipindi cha kampeni anapiga pushup mara anatokea dilishani nikajua tu kuna tatizo mahali fulani
 
Imefika kipinsmdi niliamua kuacha kusikiliza hotuba zake.
 
Mimi ameniacha hoi aliposema kuwa Kinana anemtuma india kwa matibabu kwa siku kadhaa...nonsense hivi ule ushauri uliotolewa dhidi ya Trump kupimwa kama yuko tim..am kwanin nasi tusimpime bw. mkubwa maana hii miropoko sio ya mtu wa kariba ya wadhifa wake
 
Hataki tuzungumzie habari za koromije na bashite, sijui bashite anampa nini, bashite endelea kumpa hicho unachompa maana ndiyo usalama wako
Tena inaelekea Huyo bashite anampa vizuri sana hadi kachanganyikiwa, uje umtumbue Nape mfia chama kwaajili ya bashite asiyejuwa wajibu wa kazi yake!!!!!
 
Mheshimiwa Rais naona wa Tz wanatumia muda mwingi sana ktk mitandaoni kuliko hapa kazi tu.
Uliliwekea msimamo la muda wa kunywa pombe,na hili la mitandao liwekewe muda.
Tumeshaji-tune kwa la muda wa kwenda bar,tusaidie hili pia hili la ku-like mitandaoni. Linataka kuwa out of hand sawa na la na viroba lilivyo kuwa.
Hebu Mpe assignment waziri na watendaji wake. Muda unaotumika mitandaoni ni mwingi mno. Hata ufanisi pia ktk majukumu ya wanaoitumia unashuka.

Mtu akianzisha topic mitandaoni wanaoichangia ni wengi mno kwa muda mfupi.

Wakifungiliwa access baadae ya SAA za kazi tu tutakuwa na michango mizuri pia itakuwa ni mbadala wa kulewa pombe bar hivyo kutumia muda vizuri baada ya kazi.

Nimetoa mawazo yangu kwa nia njema kwa nchi yangu.
ratiba zipo tofauti, kuna wengine wanafanya kazi kutwa na wengine usiku.
punguza mahaba kwa uyo mpuuzi,
kuna manesi, madaktari ,walinzi ,polisi n.k ambao wanaingia kazini usiku. kwa iyo hao unataka wasipate nafas yakuchangia?
punguza mahaba kwa uyo boya.
[HASHTAG]#Reason[/HASHTAG] before you present an idea.
 
Bila shaka wanajamvi mko salama, kwakweli nimefuatilia sana kauli za mkuu wetu wa nchi kwa muda mrefu na leo naomba niongee yafuatayo. Hakuna ubishi kua tangu Mh. Magufuli tangu uapishwe kua rais wa nchi hii na badae mwenyekiti wetu wa CCM kuna mambo umefanya vizuri lakini kuna mengi kweli umeharibu sana.Leo naomba nijikite kwenye kauli zako ambazo unatamka dhidi ya watanzania wenzako ingawa ata huku nyuma uliwai kutamka tu nyingi. Sina haja ya kuzirudia zote kama kule Kagera ila kauli uliyotoa Zanzibar na jana kuhusu vyombo vya habari zimetuangusha sana kama Taifa mbele ya majirani na marafiki zetu. Sikuona haja ya Mh. Rais kutoa kauli yenye vitisho dhidi ya raia wako ulio waomba kura ili uwatumikie.Unaposema kua hamna freedom ya hivyo moja kwa moja kumbuka unaivunja katiba ya nchi yetu ambayo uliapa kua utailinda ingawa mpaka leo bado una imani kua katiba sio kitu mbele yako .
Mh. Rais kuna mambo ambayo unabidi ujikumbushe au ukumbuke ....mfano vyombo hivi hivi vya habari ndivyo vimetumika kukutafutia kura na kukunadi wewe lakini vyombo hivi hivi ndio njia rahisi unayo itumia kupereka ujumbe kwa watanzania.
Kumbuka pia sio rahisi na jambo ili aliwezekani kua kila siku habari iwe ni wewe tu au mawazo na habari unazo zipenda wewe...ata DJ ana miziki anayoipenda yeye lakini akiwa kazini analazimika kucheza miziki inayopendwa na wataje.
Mwisho Mh. Rais nakukumbusha kua Taifa ili ni zaidi yako na mimi .Tusifanye au kutamka kauli za kuliangusha Taifa maana limejengwa kwa nguvu kubwa.Badirika mkuu kwa maslahi ya Taifa ili Tanzania.

Labda Wewe anaweza kukusikiliza Mkuu kwani sisi wengine tumeshaimba mno Kwake ila Jamaa Kakomaa tu na ndiyo kwanza anazidi tu kumlinda Kifaranga wake wa pekee ili asidhuriwe na Mwewe au Kunguru.
 
Mwisho Mh. Rais nakukumbusha kua Taifa ili ni zaidi yako na mimi .Tusifanye au kutamka kauli za kuliangusha Taifa maana limejengwa kwa nguvu kubwa.Badirika mkuu kwa maslahi ya Taifa ili Tanzania.

= badilika

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mh.Rais wetu.
Kila kitu in excessive consumption turns into addiction,mitandaoni-likes inclusive,let's commonly put a harmonious use limits to them. Binadamu wakati mwingine hulazimishiwa ustaarabu.Either by their leaders au thro' consequences. Tusisubiri hii cause ya pili,let's opt for the first one.
 
Mh. Hary,wakati wengine tukipambana na uraibu wa ngada,wewe pambana na huu unaojitokeza wa social media.
 
Back
Top Bottom