Rais Mh. Dk. Magufuli ampongeza Samatta!

Kaduguda

JF-Expert Member
Aug 1, 2008
724
641
ImageUploadedByJamiiForums1452258928.947105.jpg
 
Juhud gani wakat miundombinu mibovu uwekezaji kwenye soka hakuna Watoto wa mitaani wanaopiga soka ndio hao wanaovunjiwa nyumba
 
Tumia akili kufikiri, hivi unategemea serikali ianze kuwekeza kwenye miundombinu ya mpira wakati hata hiyo ya afya na elimu bado??
 
I see ccm ni kirusi kibaya sana. Iyo serikali yako imeshindwa hayo uyasemayo kwa zaidi ya miaka 50. Kuna nchi hayo uyasemayo twawapita lakini soccer linawatangaza duniani. Anyway, endeleeni kutangazwa na kiduku, kangamoko, mdumange na baikoko ndio mwayaweza.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Nchi ikijitangaza kwa mpira ikawa maarufu lakini wananchi wake hawana huduma za msingi za kijamii hususani Elimu na afya, kutakuwa na faida gani kwa taifa? Elewa kuwa hata huko ulaya ni watu binafsi na vilabu vyenyewe ndivyo vilianza kuwekeza kwenye miundombinu ya mpira, serikali zao zimekuja kusapoti baadaye kabisa. Hapa kwetu Tz na nchi nyingi za Afrika ni vilabu vyenyewe vimekosa ubunifu wa kuwekeza fedha ambazo huwa wanapata kama mapato. Hivi leo hii unaweza kuniambia TP Mazembe serikali iliwekeza kiasi gani? Tuache kuilalamikia serikali, sisi wenyewe watanzania ndio tuna tatizo. Vilabu vyote vinapaswa kuwa na timu za watoto kwa ajili ya kusaka vipaji. Azam ana kiwanja kizuri, ni ubunifu wake mwenyewe. Ukija simba na yanga maneno mengi na mipango mingi lkn utekelezaji hakuna, ww unafikiri mpira utapiga hatua kweli?
 
...wewe bwege hebu tazama investment zinazofanywa na wachezaji wa Africa wanaocheza nje;Drogba amewajengea zahanati kwao ivory coast, wanatoa misaada kibao kwa nchi zao km vitabu vya shule,visima vya maji,wamejenga mahoteli kwny nchi zao,wameajiri raia wao wengi tu.
Nyie watu mmedumaa sn akili,ndio maana na maendeleo ya hii nchi yamedumaa pia,unadhani mpira ni kutoka jasho tu uwanjani,hujui vitu gani vinapatikana tukiwa na wachezaji wanaocheza nje.
dogo punguza munkari tutakuelewa tu, pointi unayo nayeye anayo. Epukeni vionjo vya kisiasa kujadili mambo ya msingi
 
...wewe bwege hebu tazama investment zinazofanywa na wachezaji wa Africa wanaocheza nje;Drogba amewajengea zahanati kwao ivory coast, wanatoa misaada kibao kwa nchi zao km vitabu vya shule,visima vya maji,wamejenga mahoteli kwny nchi zao,wameajiri raia wao wengi tu.
Nyie watu mmedumaa sn akili,ndio maana na maendeleo ya hii nchi yamedumaa pia,unadhani mpira ni kutoka jasho tu uwanjani,hujui vitu gani vinapatikana tukiwa na wachezaji wanaocheza nje.
Mkuu mm naukubali ubwege uliousema, toa facts nawewe tukuelewe. Kuna vitu vingi vinaangaliwa kabla ya kufanya uwekezaji mkubwa ikiwemo ROI, Pay Back Period na Opportunity Cost. Kama huvijui vitu hivi siku zote utakalia kulalamika tu kama ww.
 
Nchi ikijitangaza kwa mpira ikawa maarufu lakini wananchi wake hawana huduma za msingi za kijamii hususani Elimu na afya, kutakuwa na faida gani kwa taifa? Elewa kuwa hata huko ulaya ni watu binafsi na vilabu vyenyewe ndivyo vilianza kuwekeza kwenye miundombinu ya mpira, serikali zao zimekuja kusapoti baadaye kabisa. Hapa kwetu Tz na nchi nyingi za Afrika ni vilabu vyenyewe vimekosa ubunifu wa kuwekeza fedha ambazo huwa wanapata kama mapato. Hivi leo hii unaweza kuniambia TP Mazembe serikali iliwekeza kiasi gani? Tuache kuilalamikia serikali, sisi wenyewe watanzania ndio tuna tatizo. Vilabu vyote vinapaswa kuwa na timu za watoto kwa ajili ya kusaka vipaji. Azam ana kiwanja kizuri, ni ubunifu wake mwenyewe. Ukija simba na yanga maneno mengi na mipango mingi lkn utekelezaji hakuna, ww unafikiri mpira utapiga hatua kweli?
Nakubali sector binafsi inamchango mkubwa. Vp kuhusu budget ya michezo? Sera ya michezo? Unataka na budget ya michezo serikali isaidiwe? Hebu jiulize Kenya na Ethiopia wametuacha vp ktk riadha ilhali we were almost the same enzi Za nyerere? Sababu ni serikali kuuwa UMITASHUMTA na UMISETA ambapo michezo hii ndio ilikua chachu ya kuibua akina samatta, Suleiman Nyambui, Thomas Ulimwengu.
 
Samatta nimeona picha ukiwa na Nape na Kikwete na background ya Bendera ya CCM...chunga sana kuingizwa kwenye siasa hasa siasa za nchi yetu....
 
Back
Top Bottom