Rais mdogo duniani - North Korea

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Je unajua rais mdogo duniani ni rais wa North Korea inakadiliwa kuwa alizaliwa kati ya mwaka 1983-1984.

Baba yake alimuandaa kuwa mrithi wake kwa sababu anafanana na muhasisi wa Taifa hilo.

Mama yake na rais wa North Korea Kim jong-un yeye alimuita "morning star king".

Inasasikika ndie rais msumbufu kwa kizazi hiki na babe.
 
Thubutu, kuigusa Northern Korea ni Kuangamiza Dunia

Nchi mbaya kuguswa ni Northern Korea, Iran na Urusi japo urusi si sana
Wewe kweli dunia haujui, nchi yenye nyuklia warheads nyingi ya kwanza urusi then Marekani. Hiyo North Korea hamna kitu ukilinganisha na mataifa makubwa duniani, nyinyi ndio miaka ya nyuma mlikua mnasifia sadam hussein na scud missiles, hakuna kitu hapo, huyo dogo wakimtaka seriously hawezi pona,tatizo Marekani na nchi za magharibi ushambulia sehemu zenye rasilimali, Korea kaskazini hakuna kitu so akitaka kuchapwa ashambulie American interest atakiona.
 
Haya Mjuvi. Wengine hatujui ya huko ugaibuni!
 
Yule jamaa ni Bad News.
Usithubutu kumjaribu kabisa. Marekani wakithubutu kumgusa tu, atasababisha vita ya tatu ya dunia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom