Rais Magufuli, Zanzibar umetengeshewa bomu na ndugu zako na watu wa Kaskazini

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,143
3,222
Ndugu Mh Rais Magufuli,
Suala la Zanzibar ni bomu umetegeshewa na ndugu zako wakiwemo wa ndani na wa mabara ya kaskazini usije likurupukia . wao wanaita ni bomu wamelichimbia chini ya ardhi.

1. Mtego namba moja wa kutojihusisha na ZEC umeuruka vyema na barbara kabisa, hapo umepata 100/100.

2. Wataanza kuandama. Huu mtego usikurupuke kupeleka polisi kupiga waandamanaji, bali peleka jeshi kulinda mipaka yote kusiingie kitu ndani ya mipaka. Na tena ingekuwa vyema uwe unalinda mipaka ya zanzibar kwa drones mda wote.

3. Wakiaandamana , waache kwa uhuru waandamane wanavyotaka. Wataandamana wee na mwishowe wataweza resort kwenye fujo, waache wafanye fujo. Jumuia ya kimataifa na jamii wataanza kulalamika kwamba hakuna ulinzi. Wakilalalamika jumuia hizi mbili ndio upeleke kipigo cha sawa sawa kwa hawa wa fyoko fyoko.

4. Wakianza kuandamana wape uhuru na na uwalinde waandamanaji ili waandamane vizuri, na ukionyesha umoja wa mataifa unashirikiana na waandamanaji kupitia television. waache waandamanaji hata kupanda kwenye tanks za jeshi na uonyeshe dunia live. Wakianza kuandamana vyombo vya habari vyako viwe active, maana wanatabia ya kutengeneza picha na kurusha kwa media na kusema "he is killing his own people".

Unachotakiwa ni ku twart huo mtego.
 
N
Yote ya nn hayo, kwann tu matokeo yasitangazwe...
Nani wa kutangaza matoke? waliofuta ama kujitangaza ndo mitego yenyewe. Assume hata wakiendelea kuyataangaza Shein kashinda Maalim ataka uchaguzi urudiwe. Ha ha ha ha
 
N

Nani wa kutangaza matoke?
Kama kufuta jecha alikikuka sheria the best resort ni kurudi kwenye sheria n not necessary kwenda court, he just state otherwise na kuapologise kuwa alikosea...na hapo matokeo yaendelee kutangazwa...
 
Tanzania ulikua imetegewa mitego muda mrefu na sasa wameshaingia sifa ya tz ineshakufa na haitorudi tena kimataifa kwa kibri na ubabe wa kijinga kulinda chama kilicho shindwa wakimaliza kufanya uchakuzi misada inazuwiwa na hizo trilion anazo sema anakushani kama kweli hizitofanya lolote na shs ya tz itashuka uchumi utaporomoka baadae Alcohol ataenda kuwapigia magoti hapo ataongozewa masharti alipe kwanza mikopo tz ilokopa na mgogoro wa znz upumbavu msingi huondoa maarifa atajuta atakuja sema washauri wake walimshauri vibaya langu hicho tuombe uhahi
 
Na ndio point namba moja hapo Magufuli kaipangua. Kama Jecha kakosea mbona hawaendi mahakamani?
 
Tanzania ulikua imetegewa mitego muda mrefu na sasa wameshaingia sifa ya tz ineshakufa na haitorudi tena kimataifa kwa kibri na ubabe wa kijinga kulinda chama kilicho shindwa wakimaliza kufanya uchakuzi misada inazuwiwa na hizo trilion anazo sema anakushani kama kweli hizitofanya lolote na shs ya tz itashuka uchumi utaporomoka baadae Alcohol ataenda kuwapigia magoti hapo ataongozewa masharti alipe kwanza mikopo tz ilokopa na mgogoro wa znz upumbavu msingi huondoa maarifa atajuta atakuja sema washauri wake walimshauri vibaya langu hicho tuombe uhahi

Kwa kweli huu ni mtego mmoja kabambe. Tatizo ni watu wanapenda kumwagia kitumbua mchanga. Huu mchezo upo pia umejikita kwamba wanzanzibari hawataki kuwa ndani ya Tanzania. ni mchezo mpana hapo, huwezi tupia lawama tu eti ni CCM Tanganyika. Kuna mambo ambayo ni mitego ndani ya CCM yenyewe Zanzibar, CUF Zanzibar na mataifa ya Kaskazini.
Rais atulie ausome mchezo mzima. Hizo ni taktiki za kudai uhuru wa Zanzibar na kwa kupitia hiyo ofcoz hujuma za kaskazini zinaingia ndani.
 
America walimwambia jambo fanya hivi ukakaidi kuonyesha wewe jeuri watakukwamisha tu kwani hawana rafiki watafatia wengine kutunyima misaada kisha watawanunua watu wafante fujo ili jeshi lianze kuua watu kama walivyo fanya Syria Libya Ukraine ukianza kuua watu watakufungulia mastaka hapo Pombe hatoweza tena kusafiri nje ya nchi watamkamata Tupo tutayaona
 
mkuu katka jambo ambalo nakesha ucku na mchana kumwombea rais wetu alishnde ni huu mtego wa zanzibar na kwa kwl jana amenifurahisha sana na majibu yake kuhusu suala hili, na mm naungana na ww mkuu, nasema kwamba 'aliyelikoroga zenji, atalinywa mwenyewe', please, please magufuli usijihusishe na mgogoro wa zanzbar, huo mtego utakuumbua sana, waache na zec yao.
 
Lakini matokeo yamefutwa kabla hata Pombe hajatangazwa kuwa Rais, pia kumbuka hilo.
Wao wanatafuta sababu ili wapate sehemu ya kukuwekea vikwazo ili wapate namna ya kuchota mali za nchi. Na ndio maana Magufuli asikurupukie suala la Zanzibar wakianza kufanya maandamano awaache waandamane, wakiandamana wakafanya fujo sana anaita AU ama UN security council na awaulize awafanye je wafanya fujo. Awaache waharibu kwa kisingizio cha maandamano ama awafunge speed govana. Hapo atakuwa amewashika.

Pili, akiwapiga wakatengeneza picha zao wakasema he is killing his own people, hata wasipokuja kama kwa Gadaffi, wao wananenda UN Security Council wanakuwekea sanctions, mfano hakuna kuuuzia Tanzania kitu chochote ama kununua. Hivyo bandari inakuwepo tu lakini haiingizi chochote. Na makusanyo ya mapato yana collapse. Maana watalazimisha nchi zote kutofanya biashara na TZ ikiwemo Kenya, Uganda na Rwanda.
 
Kwa kweli huu ni mtego mmoja kabambe. Tatizo ni watu wanapenda kumwagia kitumbua mchanga. Huu mchezo upo pia umejikita kwamba wanzanzibari hawataki kuwa ndani ya Tanzania. ni mchezo mpana hapo, huwezi tupia lawama tu eti ni CCM Tanganyika. Kuna mambo ambayo ni mitego ndani ya CCM yenyewe Zanzibar, CUF Zanzibar na mataifa ya Kaskazini.
Rais atulie ausome mchezo mzima. Hizo ni taktiki za kudai uhuru wa Zanzibar na kwa kupitia hiyo ofcoz hujuma za kaskazini zinaingia ndani.
Hapo nimekuelewa mkuu, kwamba ccm zanzibar na jecha na CUF lao moja. Watu wakiuliwa wakubwa wa dunia watashinikiza wapewe uhuru wao kama kosovo.
 
Tanzania ulikua imetegewa mitego muda mrefu na sasa wameshaingia sifa ya tz ineshakufa na haitorudi tena kimataifa kwa kibri na ubabe wa kijinga kulinda chama kilicho shindwa wakimaliza kufanya uchakuzi misada inazuwiwa na hizo trilion anazo sema anakushani kama kweli hizitofanya lolote na shs ya tz itashuka uchumi utaporomoka baadae Alcohol ataenda kuwapigia magoti hapo ataongozewa masharti alipe kwanza mikopo tz ilokopa na mgogoro wa znz upumbavu msingi huondoa maarifa atajuta atakuja sema washauri wake walimshauri vibaya langu hicho tuombe uhahi
Hata hueleweki!
 
mkuu katka jambo ambalo nakesha ucku na mchana kumwombea rais wetu alishnde ni huu mtego wa zanzibar na kwa kwl jana amenifurahisha sana na majibu yake kuhusu suala hili, na mm naungana na ww mkuu, nasema kwamba 'aliyelikoroga zenji, atalinywa mwenyewe', please, please magufuli usijihusishe na mgogoro wa zanzbar, huo mtego utakuumbua sana, waache na zec yao.
Mbona unazunguka sana?mtego mkubwa wa zanzibar umeasisiwa na nyerere kwa kuificha tanganyika ndani ya muungano huu,mwambie magufuli airejeshe tanganyika kwanza ndio wazanzibar wataamini kwamba magufuli zanzibar hahusiki nayo.
 
Hapo nimekuelewa mkuu, kwamba ccm zanzibar na jecha na CUF lao moja. Watu wakiuliwa wakubwa wa dunia watashinikiza wapewe uhuru wao kama kosovo.

Ndiyo hivyo, Jecha na CUF ni wamoja mno hasa linapokuja suala zima la Tanzania. Huo ni mtego wa wazi, kwani CCM kama wameshindwa wanauhakika gani kwa kura zile zile mfano Maalim angekubali wangeshinda? Hata wakirudia na Maalim akakubali bado matokeo ama Maalim ama SHein atayakataa tena. Hivyo huo ni mtego tu.
 
Pili, akiwapiga wakatengeneza picha zao wakasema he is killing his own people, hata wasipokuja kama kwa Gadaffi, wao wananenda UN Security Council wanakuwekea sanctions, mfano hakuna kuuuzia Tanzania kitu chochote ama kununua. Hivyo bandari inakuwepo tu lakini haiingizi chochote. Na makusanyo ya mapato yana collapse. Maana watalazimisha nchi zote kutofanya biashara na TZ ikiwemo Kenya, Uganda na Rwanda.
Walimfanyia Nkrumah fitnah nchi ikabaki na dola 60000 tu hazina, haikupita mwezi wanajeshi wake wakampindua.
 
Mbona unazunguka sana?mtego mkubwa wa zanzibar umeasisiwa na nyerere kwa kuificha tanganyika ndani ya muungano huu,mwambie magufuli airejeshe tanganyika kwanza ndio wazanzibar wataamini kwamba magufuli zanzibar hahusiki nayo.

Hii ndo Magufuli mnataka kum trap. Kiukweli si kwamba CUF imeshinda ama CCM imeshinda. Mantiki ya kufuta uchaguzi ni Jecha, CCM Zanzibar na CUF wameona ndo njia sahihi ya kujitoa kwenye muungano.
 
Mbona mnaLiaLia hovyoo...!!???
Kama ni mtego/mitego aliwekewa Gadafi na kua naHekma zote pamoja na uchumi imara, walimtungua na kumuua kilaini na kinyama..

Sasa Huyu wa Tz c.dakika chache tuu..
Nyny endeleni kulialia.
 
Kama kufuta jecha alikikuka sheria the best resort ni kurudi kwenye sheria n not necessary kwenda court, he just state otherwise na kuapologise kuwa alikosea...na hapo matokeo yaendelee kutangazwa...
Chombo kipi kinatafsiri sheria na kusema zimekosewa?
 
Walimfanyia Nkrumah fitnah nchi ikabaki na dola 60000 tu hazina, haikupita mwezi wanajeshi wake wakampindua.

Ndiyo hapo, inabidi awe mjanja aweze kucheza na hiyo mitego. Wao wanaamini sisi bado watumwa, kwa hiyo wakiona anazuia watu kwenda kuficha hela ulaya wananchukia mno. Hilo la Zanzibar inabidi asikurupuke kabisa. La kuwaachia ZEC yao amecheza vizuri mno hapo.
 
Back
Top Bottom