joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Kwa hilo nitakukatalia hadi naingia kaburini hasa kwa awamu hiii,Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hahaha CCM iondoke madaraka kwa karatasi za kura!!!??? Hilo halita tokea hasa kwenye kiti cha uraisCHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Sacrifice ya sacred Lissu!Uraisi sio kazi ndogo mkuu,... Si sawa kama wewe unaamka asubui unaenda chooni unarudi kulala,.. Being president requires sacrifices and great responsibility achane umasikin wa kufikiri nje ya mchezo,...Sit down niggahh!! Acha kuwashwa washwa,
Tatizo ni kwamba umekariri, mara nyingine sio lazima iwe hivyo.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
wamekubali kiaina.... Safi sana.. At least unamkubaliKwa kiasi fulani namkubali kwenye usimamizi...
Sacrifice ya sacred Lissu!
Au sijakusoma vizuri katikati ya mistari yako!