Rais Magufuli yashamshinda?

tena atashinda kwa kura nyingi mnoo. hawa wapinzani hawana ajenda pumzi imekata mapema sana. wamebaki kufanya siasa za kinafiki mitandaoni
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Haya maneno mlisha yasema wakati wa jk, jamaa akamaliza muda wake bila tabu. Sasa mnayarudia, tatizo lenu mnafikiri hapa ni south sudan
 
Mkuu nyani ngabu, sie tulishaona mapema sana kwamba dereva gar limemshinda, kwasasa ni Mungu mwenyewe ndo anatuongoza
unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
 
tena atashinda kwa kura nyingi mnoo. hawa wapinzani hawana ajenda pumzi imekata mapema sana. wamebaki kufanya siasa za kinafiki mitandaoni
Tutashindwa sababu HAMNA tofauti ya CCM na CHADEMA
Huwezi niambia kama CHADEMA wana afadhali then wanamteua mwana UVCCM kuwa Mbunge
Wanawapuuza wanachama wa kawaida
Akisema Lissu hapingwi popote pale
 
Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
 

Yaani unamuita mkuu wa nchi namna hiyo ..duh!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…