Rais Magufuli, wenye vyeti feki wamechangia kutufikisha hapa tulipo.

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,633
2,297
Mheshimiwa Rais, naomba utambue kuwa nchi hii wenye vyeti feki pia wamechangia kutufikisha hapa tulipo sasa, na baadhi yao wapo bado madarakani na hawana jipya katika mikakati ya ubunifu wa kazi zao na hawa ndo wanafanya kazi as business as usual. Kwa vile umeanza na hili la watumishi hewa, sasa ningekuomba kwa ujasiri huo huo utamke kuhusu suala la wenye vyeti feki wajiondoe wenyewe kabla hujawafikia. Hili namkumbushia pia waziri mwenye dhamana aweke mikakati ya kuwaondoa wenye vyeti feki.
 
Ksi ya chui huwz mplekea simba wao wenyew wana vyeti vya haina hiyo! Upo PhD hata KIINGEREZA cha kumtongoza demu aingie geto HUWEZI!?!!
 
Back
Top Bottom