Mimi si Mtaalamu wa mambo ya ulinzi na USALAMA, japo huwa napiga push ups kama 10 baada ya kula ugali wa mhogo na bamia Kila siku jioni kama ishara ya ukakamavu aliotuonesha Rais wetu mpendwa wakati wa kampeni.
Turudi kwenye mada hao walikuwa wadhamini wa kipindi wakiongea.
Kuna tetesi kuwa Tanzania NCHI yangu haijasaini Mkataba wa EAST AFRICA EXPORT UNION ambao pamoja na mambo mengine umelenga FREE movements of Goods within the members states. Maana yake Uhuru wa kuuza bidhaa popote ndani ya NCHI wanachama, bila kuwepo vikwazo vya kiuchumi yaani Tariffs, Export Quota and other Trade Embergo.
Kama Niko sahihi Rais aweke ulinzi uchochoro wa Sirari ikiwezekana aweke JWTZ camp pale mpakani walinde bidhaa kuingia kihorera hasa usiku.
Mimi naishi Tarime, pia nafanya kibarua cha serikali Tarime kuna vitu haviko sawa mpakani kwetu hapa Sirari.
Pia ningeshauri kabla serikali haijakataa kusaini mkataba huu ijiridhishe kama Tanzania ina uwezo wa kujiendesha bila kutegemea bidhaa toka Kenya na Uganda? Utafiti ufanyike yasije yakawa kama ya sukari na mafuta ya kupikia. Natania tu jamani TCRA msije mka nizoa sijui chochote jamani.