Rais Magufuli: Waliouziwa Viwanda wakashindwa kuviendeleza, Wakamatwe wawekwe Korokoroni

Kweli maumivu huanza pole pole...hivi waliuziwa au walipewa bure? Je walinunua kwa pesa zao, walipewa mikopo na serikali au waliingia ubia na serikali! Nadhani ufafanuzi utasaidia kuondoa utata.
 
UFAFANUZI.

1/Hakuna mtu alipewa bure kiwanda, viwanda vyote hivyo viliuzwa, vilibinafsishwa au vilifiliwa kisheria na serikali.

2/Mambo yote hayo yalifanyika kisheria, hivyo kutumia nguvu sasa ni kutaka kuwatisha watu na kunyonga haki za wanyonge.

3/Viwanda vyote ambavyo serikali 'ilivitoa' vilikuwa kwenye hali mbaya kibiashara, kiuzalishaji au kiteknologia, hivyo kuvibinasisha ilikuwa ni jaribio la kuokoa visife kabisa au kufufuka, hivyo kama havizalishi chochote sasa sio ajabu.

4/Kama serikali inataka kuvirudisha tena hivyo viwanda inapaswa kutumia taratibu na sheria ambazo pia ndizo zilizotumika wakatii wa kuvibinafsisha kwa watu binafsi.

5/Viwanda ni biashara, kuna faida na hasara, kama wamiliki wa hivyo viwanda wamepata hasara basi wangevifunga tu, na kama wangepata faida wangekuwa wanaendelea na uzalishaji mpaka sasa.
haijalishi wawe walivinunua ama vipi,wao wavirudishemo tu,
watafungwa bure
 
Back
Top Bottom