VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Imekuwa kawaida,kwenye hotuba zako,kusema kuwa utatoa fedha kwa ajili ya jambo fulani. Leo,kule Bariadi mkoani Simiyu,umeahidi kutoa fedha kwa ajili ya kumaliziwa kipande cha barabara. Ukasema tender iwe wiki ijayo.
Kule Bariadi,alikuwapo Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa aliyeishia kupiga makofi tu ya kupokea agizo. Ahadi zako za kutoa fedha kwa mradi fulani hazikuanza Simiyu leo. Imeshakuwa mazoea.
Sisi watanzania tunajua kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni Rais wetu. Amechaguliwa hivyo. Tunajua kuwa kuna Wizara tofauti zenye bajeti zake na majukumu yake. Bajeti hupitishwa kila mwaka. Tunajua kuwa Waziri wa Fedha ni Dr. Phillip Mpango
Mhe. Rais,nani kakuteua kuwa Waziri wa Fedha? Pesa unazoahidi na kuzitoa kwa mradi fulani,huwa unazitoa wapi? Leo sigusii hotuba ya Bariadi kwakuwa ilikuwa ni kwa ajili ya 'kutambia' uwanja wa nyumbani
Mwafaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam