Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Toka muheshiwa Rais uingie madarakani maneno mengi sana yanasemwa kuhusu utawala wako.
Wapo wanapongeza juhudi zako za kupambana na maovu yaliyokithiri serikalini.
Wapo baadhi wanabeza juhudi zako.
Kuna tabaka la watu wa chini ambao wameumizwa nauozo wa baadhi ya watendaji serikalini Ndio wengi wao ambao wapongeza juhudi na hatua unazochukua.
Pia Kuna kundi lipo la wanufaika wa uozo wa serikali, ambao Ndio wanaobeza kazi yako.
Nikuombe mheshimiwa Rais usikatishwe tamaa na hili kundi linalobeza kazi yako ya kulikwamua taifa.
Raia wanauhuru wakutoa maoni yao kuhusu utawala wako kwa mujibu wa katiba.
Lakini kumbuka mwisho wa muda wa utawala wako ukiisha kitakacho angaliwa je? Ume deliver.
Nina maana wananchi mmoja mmoja wameondokana nadhulma na pia uchumi wao umeimalika?
Kumbuka Mheshiwa Rais mti wenye matunda Ndio upigwao mawe.
Pia fanyia kazi maoni chanya ya wadau mbali mbali yenye lengo la kujenga nchi.
M
Miruzi mingi utaisikia, ila simama imara.
Nawasilisha.