Rais Magufuli, Usichoke kuchukua hatua karibu Chamwino

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Rais wetu bado siku chache utimize miaka minne tokea tufanye uchaguzi mwaka 2015

Hakika umefanya mengi ndani ya muda mfupi,utekelezaji wa Ilani unafanyika kwa kasi ,sisi tuliozunguka vijijini kipindi cha kampeni kukuombea kura tunafurahi sana

Ila lile kundi la watu wachache ambao hawakutaka uchaguliwe ndio wanatamani ushindwe hili waseme ilikua nguvu ya soda

SISI TULIOKUPIGIA KURA NA TULIKUOMBEA KURA VIJIJINI ,TUNATAKA KASI IONGEZEKE NA USICHOKE KUCHUKUA HATUA ,Pamoja wapiga Ramli wanataka uache kuchukua hatua ,hili uingie katika kumbukumbu kuwa mwishoni ulichoka
 
Yaani mtu ahamishe kila kitu nakuanza makazi ya kudumu katika mji wa Idodomya.
Usiku baridi kali,
mchana joto Kali kama Saudi Arabia na Vumbi juu.
Bahari hakuna.
Bandari hakuna
Supu ya Pweza hakuna.
Chakujitesa ninini khasa.
Sauti kusikika au.
Kwanza Dodoma ni katikati ya Tanganyika na sio Tanzania.
Na sasa ni Tanzania.
Kama Jambo hili litatimia nitaunga mkono juhudi kwa kukata kadi ya Chamakijani na kuimba
Tanu Yajenga Nchi.
 
Dodoma wajitahidi sana kupanda miti na kuongeza vyanzo vya maji, pia jitihada zifanyike kupima na kuendeleza maeneo mapya ya makazi ili kuondoa uwezekano wa makazi holela, miundombinu ya barabara izingatie ongezeko la watu na magari
 
Mambo yanakwenda ,uzuri JPM wakati anafungua bunge alisema hatakae jaribu kukwamisha serikali yake atakwama yeye
 
Back
Top Bottom