Rais Magufuli, Unawaza nini?

Hiyo ni demokrasia iko kwenye Katiba ya karibu miaka 300 ndo maana Clinton hakulalamika na alikubali kushindwa. Pamoja na Katiba yetu changa inayotaka mshindi apate simple majority bado aliyeshindwa vibaya anatangazwa mshindi. Mifano live iko mingi sote tunaifahamu.
 
Soma hapa uone Wamarekaninwenyewe wanavyosema kuhusu kushindwa kwao kwenye demokrasia.

 
Sasa kuwa na mfumo ambao watu wengi hawautaki ni demokrasia?


Kuwa na mfumo ambao lobbyist wana influence kuliko wapiga kura wa kawaida ni demokrasia?

Hiyo uliyoweka ni kura ya maoni tu. Haina uzito wowote ule.

Tushaona ni mara ngapi hizo kura za maoni zimekosea.

Katiba ya Marekani inaruhusu kufanyiwa mabadiliko.

Hatua na taratibu za kuifanyia mabadiliko zipo. Article V, U.S. Constitution.

Kama kweli watu ambao hawautaki huo mfumo ni wengi kuliko wanaoutaka, basi sioni ni kwa nini wanashindwa kuubadilisha mfumo!

Wingi katika kura ya maoni si sawasawa na wingi katika kura za kweli.

Hizo hizo kura za maoni zilimwonyesha Hilary akishinda a landslide electoral college vote.

Baada ya kura za kweli kupigwa, it wasn’t even close!!

Katiba inaruhusu mabadiliko yake. Wananchi, kupitia wawakilishi wao kwenye chemba zote mbili za bunge la Marekani, wanaweza kuibadili katiba.

Sioni ambacho kisicho cha kidemokrasia hapo.
 
Upo Kenya unauza Bia unasema Australia famba wewe


 
Katiba inaruhusu, lakini lobbyists wanaruhusu?

Mazee hujui jinsi Congress ilivyokuwa controlled na lobbyists?

Kwani huko Tanzania watu wanakolalamikia demokrasia kuna marufuku ya kubadili katiba?
 
Katiba inaruhusu, lakini lobbyists wanaruhusu?

Mazee hujui jinsi Congress ilivyokuwa controlled na lobbyists?

Kwani huko Tanzania watu wanakolalamikia demokrasia kuna marufuku ya kubadili katiba?

Lobbyists mbele ya nguvu ya umma? Sidhani kabisa kama wanaweza kufua dafu!!

Ni kwamba tu huo mfumo watu hawajauchoka kivile.

Na opinion poll si barometer nzuri ya kupima ni kiasi gani watu hawautaki tena huo mfumo.

Hizi opinion polls zenye kutumia idadi ya watu 500, 1,000, au 2,000, zinaweza kuwa manipulated na skewed kwa namna ambavyo mtu unataka upate matokeo gani.

Hivi kwa mfano unaweza kuiamini opinion poll ya FOX news juu ya Trump au opinion poll ya CNN/ MSNBC juu ya Trump bila ya kuwa na wasiwasi huenda hawasemi ukweli?
 
Sikuongelea watu wengi hawataki electoral college kwa sababu nimeona opinion poll.

Hii ni sentiment iliyopo kwa Wamarekani wengi. Nalijua hilo tangu awali. Opinion poll inaonesha hilo tu.
 
Chief kumbe unaamini kuna mbingu
Wapi nimeandika naamini kuna mbingu?

Nikikuuliza "kwani kuna kapera aliye kwenye ndoa?" maana yake naamini kuna kapera aliye kwenye ndoa?

Unajua kusoma kwa ufasaha na ufahamu?

Unajua kusoma kimantiki?

Unajua tofauti ya kauli na swali?

Unajua swali la ki Sokrati ni nini?

Mwalimu akikuuliza "square root ya mbili ni kubwa kuliko mbili?" maana yake anaamini square root ya mbili ni kubwa kuliko mbili?
 
Unaposema kuna kapera aliyeoa ina maana tayari unafahamu kuna makapera ....

Uliposema kwani amerika iko mbinguni ? It means kuna mahala panaitwa mbinguni au sio.... Sasa kama wewe huamini kabisa uwepo wa mbingu unaanzaje kuitumia katika sentensi zako...

Hiyo sentensi umeiandika bila kufikiria so katika zile level mnaita sijui subconcious unajua mbingu ipo
 
Nchi ya Wagagigikoko ni nchi ya kufikirika. Haipo. Ni ya kutungwa. Ipo katika kitabu cha Bulicheka.

Ni kama Zamunda (sinema ya "Coming To America") na Wakanda (sinema ya "Black Panther"). Zote ni nchi za kutungwa.

Nikiuliza "Kwani Amerika ni kwa Wagagigikoko?"

Nikiuliza "Kwani Amerika ni Zamunda?"

Nikiuliza "Kwani Amerika ni Wakanda?".

Maswali hayo yanamaanisha ni lazima niwe naamini hizo nchi za kufikirika zipo?

Unaelewa kwamba naweza kukubali kwamba dhana ya mbingu kuwepo inaeleweka na ipo vichwani mwa watu, bila mimi kuamini kwamba mbingu ipo?

Sawasawa na ninavyoweza kukubali kwamba dhana ya nchi za kufikirika za Zamunda, Wakanda na kwa Wagagagigikoko inaeleweka na ipo vichwani mwa watu, bila mimi kuamini nchi hizo zipo kweli?

Can you chew gum and walk?
 
Haya bana chief uwr na wikiendi njema
 
Hiyo ni kwa mujibu wa katiba yao kwa vile kuna sharti la mgombea lazima ashinde kwenye baadhi ya majimbo.

Kumbuka majimbo yale yalikuwa mataifa. Katiba yao iliweja sharti hilo ili matakwa ya majimbo hayo yasiouuzwe jwa sababu tu ya uchache wao. Naliona ni takwa fair.
 
Ukisoma habari za mitandaoni, unaweza ukadhani 90% ya wabongo ni wapinzani...sasa ngoja muda wa kudemonstrate upinzani wao kwa vitendo...

Acha CCM watawale tu
Hata wakati Mugabe anatamba ilikuwa inajulikana kuwa anaungwa mkono na 90% ya Wazimbabwe.
Siku Jeshi limemchomoa madarakani 90% ya Wazimbabwe ndio walio ingia mitaani kusherehekea kuondolewa kwake.
 
Mkuu unataka kuwasafisha Museveni na Kagame?
Aisee!!
 
Kwani katiba haiwezi kuminya demokrasia?

Mbona katiba ya Tanzania inalalamikiwa kuminya demokrasia?
 
Unafiki mbaya USA watu wanauawa kila uchwao yaani ukipiga hesabu mwaka huu tu tunaongelea mamia. hiyo haihalalishi hata mwananchi moja wa Tanzania auawe. Tuwe wakweli na sote tufuate sheria ambazo tumejiwekea.
 

As Dixie genteel would politely say, GOD bless his heart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…