My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
TULIA WEWE DADA MSUMARI UKUINGIE😋😂😁😁Uzi za kijinga jinga hizi toka kwa @$&%#
kumbe hata amerika kuna mambo ya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]Marekani wabunge Republicans kipindi cha impeachment ya Bill Clinton waliweka taratibu za kumu impeach rais ziwe rahisi zaidi. Kwa lengo la kumuondoa Clinton.
Wakawa wanasema maneno mengi sana. Wamerekodiwa.
Leo hii wapinzani wao Democrats wanataka kutumia taratibu zilezile zilizowekwa na Republicans wakati wa impeachment ya Clinton, kumu impeach Trump, Republicans wanalalamika.
Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
sasa huyu wetu hakuna anachofuata si ushauri wala sheria,sheria anadai zinamchelewesha,ndo maana sisi wengine tumeshaamua kumsamehe maana inawezekana kabisa akawa ni mgonjwa
Kwani kuna mtu amelazimisha ushauri hapa? Na siyo rais tu hata wewe na mimi hatulazimiki kufuata ushauri wa Mtu yeyote! Hakuna sheria inayolazimisha kupokea ushauri, na kama ipo hiyo inakuwa amri siyo ushauri tena.
mie natamani sana ningekuwa daktari wakewakati tukiwa shule tuliwahi kufundishwa concept ya deformation kwenye somo la strength of materials. elastic material ukiivuta sana mpaka ukavuka elastic limit ina undergo deformation na ni katika level hii ya deformation hata ufanye je ile material haiwezi kurudi tena kwenye hali yake ya kawaida. mzee yupo kwenye deformation state, kumshauri ni time wasting.
Sawa kwenye chaguzi zetu tunahitaji tume huru na za kutenda haki :'what we need is free and fair elections'
Kwa nini unaandika "kumbe hata amerika"?kumbe hata amerika kuna mambo ya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mbona jafo aliposema chicharito ni sehemi ya uchaguzi watu wakapanick!!!
If you dominate the person with violence they'll eventually fight back because they got nothing to loseUliwaita watendaji wa Kata Ikulu na kuwapa maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa, kwamba wakikishe Chama tawala kinapata favor zote za ushindi.
Hivi umeshawaza kuwa maisha hubadilika? Leo wewe ni Rais, kuna siku hutakuwa Rais na hawahawa wapinzani unaowachukia ndio watakuwa wanaongoza nchi huku ukishuhudia kwa macho yako.
Kwa nafasi yako ya ukuu wa nchi watendaji wa Kata hawakuwa na hadhi ya kuonana nawe Ikulu.
Uliamua kuvunja itifaki ili tu CCM ipate ushindi feki.
Vyama mamluki vya upinzani vilivyopandikizwa na System vijifanye eti ni vyama vya upinzani na vinashiriki Uchaguzi, mataifa makubwa yanajua ukweli wote juu ya hiyo ghiliba.
Kila siku unataka tukuombee kwa Mungu ila Mungu hana chuki na wapinzani Kama uliyonayo wewe.
Mungu anawapenda wana CCM wote na wapinzani wote,na ndo huyu huyu Mungu atakuja kuwawezesha waingie Ikulu na kuongoza Tanzania huku wote mkiona.
Kwa akili za kibinadamu haiwezekani, ila kwa Mungu inawezekana.
Hata makaburu wa South Africa hawakuwahi kufikiria kuwa ANC ya weusi itakuja kuchukua Dola huku wakishuhudia.
Tabia ya Mungu huwa ni kukaa na wanyonge na kuwainua juu kutoka mavumbuni.
Badilika mapema uiandae kesho yako siku ukistaafu uwe kimbilio la wote kwa ushauri wa hekima, na siyo watu wakusambae kwa kuacha alama mbaya.
mie natamani sana ningekuwa daktari wake