Rais Magufuli unatukosea sana watanzania

uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

wewe nadi sera zako, waombee kura wagombea wako, maamuzi tuachie sisi

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima tunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishaneView attachment 1587143
East Africa wanariport vizuri sana, nimewapenda bure.
 
Maguffuli na wapuuzi wote wa ccm hawafai.
utekaji,
kubambikiza kesi,
mauaji,
ajira hakun,
bei juu,
maisha magum zaid kw raia,
udikiteta uchwara,
vyanzo vya mapato kupungua,
ni fisadi T1.5.
mzushi na muongo muongo rejea Tz ya viwanda, mil 50.
mwiz pesa za rambirambi
ntatud kuongezea,
i
 
mzee anatufokea na anatulazmixha mbna
 
Umemuelewa lkn Mtoa mada? Au umeona tu uwahi nafasi? Nini maana ya Uchaguzi chini ya Mfumo wa Vyama Vingi?

Bora sacos kuliko huyu Mbaguzi wenu hata huko kwenu hafai.
Ulitaka aseme urais nipeni mimi, ubunge mpeni wa Chadema? Wakichagua upinzani wahesabu maumivu. Tochi yenye betri tatu ukiweka kibunzi katikati haiwezi kuwaka. Huo ndio ukweli na utabaki kuwa hivyo.
#JPM #MITANOTENA
mitanotena.jpg
 
Maguffuli na wapuuzi wote wa ccm hawafai.
utekaji,
kubambikiza kesi,
mauaji,
ajira hakun,
bei juu,
maisha magum zaid kw raia,
udikiteta uchwara,
vyanzo vya mapato kupungua,
ni fisadi T1.5.
mzushi na muongo muongo rejea Tz ya viwanda, mil 50.
mwiz pesa za rambirambi
ntatud kuongezea,
i
#JPM #MITANOTENA
mitanotena.jpg
 
Anayepanga budget ni bunge/ wabunge. Sasa rais anawezaje amua kuleta maendeleo anapotaka yeye? Ukiona ivyo inawezekana, bac tambua hatuna haja ya kuwa na bunge.
 
uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

wewe nadi sera zako, waombee kura wagombea wako, maamuzi tuachie sisi

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima tunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishaneView attachment 1587143
Magufuli yupo sahihi. Kwanini tuchague watu watakao kwenda bungeni kugoma na huku posho wamechukua?.
 
Sasa ulitaka awaambie wachague Saccoss ya MBowe ili wakaendelee kupinga maendeleo? Bajeti yenyewe ya uchaguzi waligoma kupitisha nashangaa hata kuwaona wapo kwenye majukwaa wanajinadi bila hata aibu. Nadhani kwa upande fulani walipaswa wawashukuru wabunge wa CCM kwa kupitisha bajeti ambayo imewafanya hata sasa wakawa na uwezo wa kupanda majukwaani kumtukana JPM.
Fedha ya Chadema inatokana na michango ya wananchi haitokani na hiyo NEC yenu ya CCM iliyojaa ubaguzi!
 
Acha kuhara mchana kweupe wewe. Nani kakudanganya kuwa Chadema haipokei fedha za uchaguzi kutoka NEC? Ndiyo maana hata ruzuku zenu zinaliwa halafu mnakaa kimya mnabaki kupitishiwa mabakuli mchangie. Too low
 
uchaguzi maana yake ni kuchagua kiongozi bora miongoni mwa wale wanaogombea, wananchi ndio tunaelewa yupi ni kiongozi sahihi na atakayetufaa,

lasivyo basi hakuna haja ya uchaguzi

si mara ya kwanza nakusikia ukiwasiaitiza wananchi wachague kiongozi fulani bila hivyo huwapi maendelelo,

sasa uchaguzi ni wa nini sasa?

halafu tangu lini hii nchi maendeleo yakawa ni hisani ya mtu?

maendeleo hayaletwi na mtu maana hatoi hela zake mfukoni, maendeleo ni kodi za watanzania, yanini kutishanatishana sasa?

wewe nadi sera zako, waombee kura wagombea wako, maamuzi tuachie sisi

huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana, sisi ni watu wazima tunajielewa tusipangiane

sasa mimi niko tunduma na ninasema silinde simpi kura wala wewe sikupi kura, kama maendeleo usiyalete sasa!

watu wote watapita ila tunduma itabaki, tumezaliwa tumeikuta na tutaicha tusitishaneView attachment 1587143
Najiuliza sana,Hivi Rais Wangu JPM hana washauri kwenye kampeni Hiz? Kikwete,Nape,Mangula mko wapi?mmeamua kumwachia polepole,hajakomaa kisiasa.Katika mambo anakosea mgombea wetu kipenzi Chetu ni kutishia watu.Huku mtaani anaharibu kabisaaaaa,Huko ni kusimanga na kutisha watu ,jahazi linazama.
 
Acha kuhara mchana kweupe wewe. Nani kakudanganya kuwa Chadema haipokei fedha za uchaguzi kutoka NEC? Ndiyo maana hata ruzuku zenu zinaliwa halafu mnakaa kimya mnabaki kupitishiwa mabakuli mchangie. Too low
Matusi na CCM ni Kama uji na mgonjwa.mmefilisika kisera mmebakia kutoa vitisho na matusi.Mwaka huu mtapumzshwa Kama chama tawala!
 
Anayepanga budget ni bunge/ wabunge. Sasa rais anawezaje amua kuleta maendeleo anapotaka yeye? Ukiona ivyo inawezekana, bac tambua hatuna haja ya kuwa na bunge.
Tumia akili basi, bunge kazi yake ni kujadili budget iliyoandaliwa na serikali! Kwa hapo tumia tena akili kujua serikali ni nani!

Ukweli watu hatupendi kuambiwa na kusikia ukweli wa katiba iliyopo! Maana majigambo ya Magu ni ya kikatiba kabisa!

Kuondoa hayo, dawa ni katiba mpya kuundwa yenye kuondoa mamlaka hayo ya kibabe kwa rais!
 
Matusi na CCM ni Kama uji na mgonjwa.mmefilisika kisera mmebakia kutoa vitisho na matusi.Mwaka huu mtapumzshwa Kama chama tawala!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom