Rais Magufuli, umemuudhi Mungu

Rais Magufuli, umemuudhi Mungu

Ivi Tito na yeye CCM ?
Ivi kwa nini mabwabwa wengi wanakuwa kwenye hiki chama ?
 
Lazima watanzania wenzangu wajitahidi kumwelewa jiwe!jiwe ana tatizo la kisaikolojia,ni mwoga sana,hajiamini hata kidogo,hii inasababishwa na malezi duni ya utotoni hasa kukosa upendo msawazo kutoka kwa wazazi wawili!ndo mana anaonekana very frustrated hata kama kuna baadhi ya vitu anafanya vizuri!!!
 
Hakika CCM hivi sasa ina-survive kwa ajili ya "kubebwa* na vyombo vya Umma hivyo viwili, yaani Jeshi la Polisi nchini Plus TISS
Hii ni moja ya theory mbovu sana inayowa-cost sana wapinzani nchini.
Siri moja wapo ya vita ni kuijua nguvu ya adui wako kwa uhalisia wake na sio kujifariji. Mwenye masikio na asikie.
Without those two State organs, there is no CCM!
 
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.

Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.

Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.

CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.

Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.

Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.

Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.

TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?

Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.

Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.

Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?

Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.

Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?

1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?

Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.

Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.

Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.
Unapiga bomu mochwari na kujisifu kuwa umeua!!!!!
 
My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
Ulisoma mpaka darasa la ngapi kwani?
Kwa majibu haya umedhihirisha upumbavu wako
Soma sana vitabu vitakatifu uongezee maarifa
Katafute hili andiko kwenye moja ya vitabu vitakatifu....

"TAZAMA mkono wa Bwana haukupungua hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito hata lisiweze kukusikia wewe......LAKINI MAOVU YENU YAMEWAFARAKISHA NINYI NA MUNGU NA DHAMBI ZENU ZIMEWAFANYA USO WAKE MUNGU MSIUONE.....

Tz inapitia laana hii
Watawala wamekuwa waovu kupitiliza
 
Uchungu wa kutumbuliwa, vyeti feki, miradi hewa n.k uchungu wenu tunauelewa. Kila anayetukana raisi Magufuli anasababu binafsi na ameathilika binafsi. Kushindwa kwao kimaisha kulikosababishwa na kona kona zilizonyooshwa Leo hii wanataka watuweke kwenye mkumbo wote. Magufuli ana Mungu na lazima kuheshimu mamlaka iliyowekwa na Mungu taka usitake.
 
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.

Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.

Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.

CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.

Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.

Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.

Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.

TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?

Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.

Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.

Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?

Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.

Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?

1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?

Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.

Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.

Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.
Imeandikwa , Mshahara wa dhambi ni mauti .
 
"TAZAMA mkono wa Bwana haukupungua hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito hata lisiweze kukusikia wewe......LAKINI MAOVU YENU YAMEWAFARAKISHA NINYI NA MUNGU NA DHAMBI ZENU ZIMEWAFANYA USO WAKE MUNGU MSIUONE.....

Tz inapitia laana hii
Watawala wamekuwa waovu kupitiliza
Kwanini unalitumia hili fungu kuwaangalia watawala tu? ? Fungu lenyewe linasema ' LAKINI MAOVU YENU YAMEWAFARAKISHA NINYI NA MUNGU ' wapi lilipotaja watawala? ? Hivi unawezaje kuona kibanzi cha jicho la mwenzako wakati una boriti kwenye jicho lako. ? Wewe maovu yako yaliyokufarakanisha na Mungu ni yepi? ? Unaishije na familia na ndugu zako? ?
Tito 3:1-2 Pamoja na 1petro 2:13-17. Tii mamlaka iliyowekwa na Mungu. Na mpe heshima mfalme
 
Maandiko Matakatifu ni maisha tunaishi kila siku
Sioni kwa nini kuuliza 'eti kwani imeandika watawala?!!
Maovu - ngoja nikusaidie
Utekaji
Kuua watu
Kuwakosesha watu raha na amani mioyoni mwao ni kumkosea Mungu
Haya yanafanywa na WATAWALA au
sasa kipi kigumu kuelewa hapo?

Tutiii mamlaka kama haki na usawa havipo tunatii kivipi kwa mfano?
Huna tofauti na yule niliyemjibu kaonyesha upumbavu wake
Jiongeze

Dhuluma uuaji utekaji ndio tutiii mamlaka
Hebu ondoa urojo wako na mahaba yako
 
My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.

Empty brains za lumumba zinatia kichefu chefu sana. Hatata halijasoma limelipuka tu na kukoment ujinga. Hapa ndio mnakwama. Jamaa kaandika ukweli. Binafsi namkubali JPM kwa kile anachokifanya kwa serikali ya TZ lakini kinachonikera nikuwazuia upinzani kuwa huru kushiriki kwenye mchakato mzima kuamua kwenye masuala ya nvhi yetu tukufu Tanzania
 
JPM anawakilisha maono ya wengi, na hivyo wanaomsupport wanafanya hivyo wakiamini anawawakilisha katika kuyatimiza maono yao.

Binafsi naamini kabisa nafasi kama ya Urais, huwa inatoka kwa Mungu, naona hata wewe umekiri. Tumsupport ayatimize yale aliyopangiwa kuyatimiza, muda wake ukipita tutamkaribisha mwingine, till then its Magu all the way, you have to accept that man, that is the reality.
Ila vitendo vyake ovu havijatoka kwa Mungu.
 
U
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.

Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.

Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.

CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.

Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.

Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.

Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.

TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?

Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.

Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.

Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?

Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.

Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?

1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?

Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.

Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.

Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.
Ukweli mwingine mchungu nyumba kuu inaanguka. Mkakati peeke uliyobaki ni kujitahidi kuwakana wale wote wanaokupotosha kwa kusifia bila kuona dosari na kusimama upande wa wananchi.

Leo nilikuwa nimekaa sehemu hapa Tabora nikasikia jambo nikajiuliza hata huku Toronto? Ebo! Kesho naelekea Nyakanazi nasubirii kuyasikia ya huko na wa huko wanasema nini?
 
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.

Nikiondoa sentence 'Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako.' yaliobaki nakuunga mkono
 
kila ukiingia humu, ni rais rais, rais, rais tuuuu! Ni Mwiko kabisa kumsema vibaya mkuu wa watu. Tumuombee! Ana ubaya gani huyu baba? mazuri hatuyaoni? Manung'uniko yaliwachelewesha waisraeli kuingia nchi ya ahadi.
Afadhari kumshukuru Mungu, Kwani hata kiongozi mbaya amewekwa na Mungu kwa ajili ya hao wabaya, someni maandiko.
 
Kwa akili hizi ndo maana wazungu wanatudharau
[emoji116]
Ana ubaya gani huyu baba? mazuri hatuyaoni? Manung'uniko yaliwachelewesha waisraeli kuingia nchi ya ahadi..

Kwa hiyo kumbe ni msafi 100%? Hongera sana kupata Rais asiye na kasoro
We barmaid sijui bar attendee huoni aibu kujidhalilisha humu
Screenshot_2019-11-06-02-41-20.jpeg
 
Hoja nzuri.. Ila kuna wapumbavu wanakuja kuijibu kwa Jazba na matusi why... Inatakiwa tueshimu mawazo ya kila mtu.. Uwe kijano ama blue hii tz ni yetu sote..
 
Back
Top Bottom