Rais Magufuli, umemuudhi Mungu

Rais Magufuli, umemuudhi Mungu

My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
Unamkubali na nani? Yaani sisi tumkubali mtu aliyeharibu maisha ya watanzania, watu amewafanya maskini, watu wanatekwa, wanaumwa, kisa kukosoa? Kabomolea watu majumba, kawafukuza watu kazi kwa kuwaonea, kashindwa kuongeza mishahara, sasa apendwe kwa lipi.
 
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.

Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.

Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.

CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.

Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.

Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.

Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.

TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?

Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.

Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.

Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?

Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.

Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?

1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?

Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.

Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.

Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.
umejuaje amemuudhi kwani we ni malaika?
 
Endelea kuuza Bia na kijambio huko Kenya tuache na magufuli wetu

State agentView attachment 1269836
Na wewe unauza nini hapo Lumumba?
2193170_tapatalk_1571921669725.jpeg
 
Tusali sana Kumuomba Mungu atusamehe na kuturudisha ktk mizania yetu kwani hasira za Mungu zinawaka juu yetu.
 
My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
watu hushindana kwa hoja na kujibizana kwa hoja na sio kutukana! kutukana ni dalili za kutokuwa na hoja au akili kichwani. Nakushauri kama huna akili ya kufikiri ni bora kukaa kimya kuliko kuandika utoto kama huu!
 
Hali ni mbaya sana Mkuu. Ule utawala wa Mr. Amin wa Uganda, umehamia hapa Tanzania. Hatari sana.
Jana nimeona live kitisho kwa mtaalam akijieleza kusimamia uwekaji wa provition ya lift jengo la hospitali Dodoma kwa mujibu wa sheria majengo ya umma.Kwamba wale wanajeshi wajenzi wakiona mtaalam anazengua wamweke ndani!! " .... Brigedia si mna military police ...mp... Hiyo ni live vipi wakiwa chemba!? Yasemekana Amin aliwahi muua waziri wake wa fedha baada kumweleza hali tete ya hazina.Tusifike huko!!!!
 
JPM anawakilisha maono ya wengi, na hivyo wanaomsupport wanafanya hivyo wakiamini anawawakilisha katika kuyatimiza maono yao.

Binafsi naamini kabisa nafasi kama ya Urais, huwa inatoka kwa Mungu, naona hata wewe umekiri. Tumsupport ayatimize yale aliyopangiwa kuyatimiza, muda wake ukipita tutamkaribisha mwingine, till then its Magu all the way, you have to accept that man, that is the reality.
 
eti ccm imejifia na wabunge na madiwani wenu wanakimbilia ccm kila siku subiri 2020
 
Kama hadi mungu alisimama upande wa magu kuhakikisha anapata uraisi basi sio wananchi tu waliobugi kumpigia kura hadi mungu naye alibugi
mungu=Ibilisi/shetani.
Mungu=Mungu wa kweli(Mungu wa Abrahamu,Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo).Na ndiye tunayemwamini.
 
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.

Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.

Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.

CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.

Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.

Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.

Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.

TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?

Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.

Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.

Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?

Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.

Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?

1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?

Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.

Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.

Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.

Roma alishasema muhamie zimbabwe, miaka kumi ni kidogo tu mtarudi,
 
Back
Top Bottom