JPM siyo kiongozi nzuri period.My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.

Hakika CCM hivi sasa ina-survive kwa ajili ya "kubebwa* na vyombo vya Umma hivyo viwili, yaani Jeshi la Polisi nchini Plus TISS
Without those two State organs, there is no CCM!
My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
😂😂😂 Wadhungu wanasema "Common sense is not common to all"Mpumbavu ni wewe unayetaka jambo lako likubaliwe na kila mtu
Warumi : Mlango 3My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
Praise team mumeshapanicMy Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
Sasa kumchukia kwako kuna punguza au kuongeza kitu gani? Zaidi ya wewe kuendelea kuumia?Mimi ni Mtanzania ila simkubali so acha kutusemea Watanzanja kama unamkubali ni wewe mwenyewe na genge lenu la akina zero brain bashite
Kama vile Munga anavyotaka kila mtu afuate mawazo yake ama siyo?Mpumbavu ni wewe unayetaka jambo lako likubaliwe na kila mtu
Wewe na familia yako mkimchukia haimaanishi hapendwi na majority ya Watz!sema namkubali ndeziiiii ww,unamkubali na nani? Usitusemeee
Una hasira sana we dada! Nyie na genge lenu la wahuni huko upinzani sijui mnaishije aiseeTizameni hili... Mavi yashabana.
Waamshe na praise team wenzio.
Umeishia darasa la ngapi?My Son drink water,
Tuondolee upumbavu kama maisha yamekushinda kapambane na hali yako. JPM watanzania tunamkubali na tunampenda na tunaendelea kumuombea kwa Mungu. Wanaomnenea mabaya washindwe wao.
Yote haya yapi? Ukute hapo una lala na kuamka kwa shemeji yako lakini na wewe unafuatisha tu mkumbo wa akina Zitto na genge lake. Zinduka kijanaTakataka kama wewe ndio chanzo cha yote haya
Usiwe msemaj wa familia yangu sasa cjakupa majukum hayo,kama n ww na familia yako jarbu kua specific c unatujumuisha woteWewe na familia yako mkimchukia haimaanishi hapendwi na majority ya Watz!
Hivi una Habari kuwa hata hapo kwenye familia yako kuna watu wana kuchukia?
Kwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.
Wapinzani unaowachukia leo ndio walisababisha wewe ukawa Rais, bahati nzuri hata wewe unalijua hilo na mara nyingi umeongea kuwa uliokota embe kwenye mti wa mwarobaini.
Chama chako CCM kimeshakufa, nguvu pekee ya CCM ni Police na TISS.
CCM imebakiwa na kundi la watu wachache wanafiki ambao lengo lao ni kushibisha matumbo yao na baadhi ya illiterates wasiojua lolote.
Hao watu ni hatari na iko siku watakukana hadharani kama wanavyomkana JK leo.
Haukuwa mpango wa CCM kukupa urais, Mungu alisimama upande wako ili nawe usimame na watanzania lakini imekuwa kinyume.
Kila siku umekuwa wa kusifiwa tu, yaani hukosei, sifa anazostahili kupewa Mungu zinakuja kwako, eti hakuna kukosoa.
TBC 24/7 ina vipindi vya kusifia tu bila kukosoa, kuna serikali duniani isiyokosea?
Umetunyima haki yetu ya msingi ya kuchagua viongozi tunaowataka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kuwa mpinzani Tanzania imekuwa uhaini, eti ni lazima CCM itawale.
Bahati mbaya kwako waliopaswa kukueleza ukweli ni viongozi wa dini kumbe nao ni ma agents wa CCM na serikali waliojificha kwenye koti la utumishi wa Mungu.
Eti kila Mtumishi wa Mungu anakusifia, ni binadamu gani wewe usiyekosea?
Hawa watu hawakusifii bali wanakusanifu ili wapate kula.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ungeuacha ili upime juhudi zako zinavyokubalika kwa wananchi, Kitendo cha kukimbia uchaguzi mdogo kama huo ni dalili kwamba 2020 hakuna uchaguzi kabisa.
Ni kwa nini wapinzani wamekuwa adui kiasi hicho?
1. Wanazuia manunuzi ya ndege?
2. Wanakwamisha mradi wa Stiglers Gorge?
3. Wanakwamisha ujenzi wa SGR?
4. Wanakwamisha ujio wa mkoa wa Rubondo?
5. Wanashawishi wananchi waichukie serikali?
Lakini wanawezaje kushawishi wakati mikutano uliipiga marufuku na halafu tunaambiwa kuwa wananchi wanaipenda sana serikali yao.
Tunajua ya kwamba wewe ni mchapa kazi, kwa hiyo hakukuwa na sababu ya kuwafanyia hila wapinzani, utendaji wako ungeonekana kwenye sanduku la kura tu.
Sifa bila kasoro anastahili Mungu tu, zaidi ya hapo chukizo kwa Mungu.
Mkuu umesema ukweli mtupu, Mungu amempa madaraka Magufuri badala ya kuwatumikia watanzania yeye kajigeuza mungu wa Tanzania, kazi kupokea sifa ambazo hata hana. Badala ya kuboresha maisha ya watanzania anawatesa tena kwa makusudi, amepunguza mzunguko wa fedha kabakiza hela kidogo sana watu wanateseka hawana uwezo wa kupata mahitaji yao muhimu kama binadamu, hata aibu hanaKwa sababu hata wewe huwa unasema kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi acha nami nikuambie ukweli tupu.