MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,562
Hii kelele nafikiri hiyo September ndo itakua mwisho.Mtu anakaa yeye na almashaur ya kichwa chake anahitimisha kusema mtaani. Naamin maandamano hayatakuwepo na hizi kelele ni kutaka kumtisha tu.na kasema hajaribiwi.
Kuna watu humu huwa wanadaiwa kufanya kazi kwa kulipwa lumumba, na mimi naamini kabisa kuna watu wamepewa kazi pale ufipa kwa ajili ya kutia manjonjo habari za ukuta.
Kuna watu humu huwa wanadaiwa kufanya kazi kwa kulipwa lumumba, na mimi naamini kabisa kuna watu wamepewa kazi pale ufipa kwa ajili ya kutia manjonjo habari za ukuta.