Rais Magufuli: Ukiikataa bajeti, usiniombe" je ukiikataa sheria hupaswi kuifuata?

Usitegemee kusikia jambo lolote la maana kutoka kwa hili jiwe kwa wakati huu na ujao, amefikia hatua ya mwisho kabisa ya hali inayomsumbua (ukichaa) ambayo aliitamka yeye mwenyewe pasipo kushinikizwa na mtu.

Subiri miujiza tu kuinusuru hii nchi kwa kipindi hiki, maana anaweza akafanya maamuzi yoyote ya hovyo kutokana na hali yake akahisi yupo sahihi, kitakacho tunusuru ni 2020 tu.
Niko huku kwenye jimbo la mh. Mbowe!
 
Sasa kama wanakataa kupitisha bajeti wa nadhani hayo wanayoyaomba yangetoka wapi?
Huko majimboni kwa wapinzani, ilani inayotekelezwa ni ya wapinzani?
Yuko majimboni kwa wapinzani walipa kodi ni wanaCCM pekee?
Kwahiyo, kwa sababo Matiko hakuipigia bajet kura ya ndiyo, tena kwa sababu za msingi sana, sasa watanzania wote katika majimbo yao waadhibiwe tena indiscriminately, licha ya kwamba wote ni walipa kodi waaminifu, by default!

Aliyesema tuna rais wa ajabu alikuwa sahihi sana.
 
Basi majimbo ya wapinzani TRA wasikusanye kodi.

Mbona vijana wa lumumba mko empty kichwani namna hii?
Mnapaswa watanzania mumuunge mkono Rais wetu JPM katika jitihada za kuijenga nchi. Kama hamumpendi mbona akija ziara kwenye majimbo mnayoyaita ya upinzani mnamuomba vitu vingi awasaidie. Na uzoefu unaonesha majimbo yenu ndo yana migogoro kibao.
 
MHESHIMIWA RAIS, nadhani ifike kipindi uanze kutumia hotuba za kuandika.
Muda huu ukiwa Tarime nimeskia ukimwambia mbunge wa upinzani Esther Matiko kuwa, kwa kuwa huwa wanakataa kupitisha bajeti bungeni, basi hapaswi kumuomba rais utekelezaji wa maendeleo jimboni kwake. Hii ni aibu!

Pamoja na castle zangu kichwani, nikajiuliza je, mbunge wa upinzani akikataa kupitisha sheria bungeni na ikapitishwa na wabunge wa chama tawala, huyo wa upinzani hapaswi kuitekeleza?

Kwenye hii ziara ya rais kanda ya ziwa, nimeskia kauli za utata kwa Mheshimiwa rais. Mheshimiwa rais naomba uandikiwe hotuba na uizingatie.

Katika majimbo mengi aliyopita ni kwa John Heche amehoji matumizi ya mfuko wa jimbo! Nina imani ataendelea kufanya hivyo kwa majimbo yanayofuata! Ni swali zuri!

Mungu ibariki Tanzania!
kwani hizo hela za bajeti zinatoka mfukoni kwake. Ni fedha za walipa kodi! Na hata anazolipwa mshahara na zinazotumika kumlisha na kumnunulia suti pia ni za walipa kodi..sio zake. Eti kumuomba rais!
 
Back
Top Bottom