Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Nchi gan hiyo bosiHata ulaya huwa wanapigwa risasi mchana kweupe mkuu!!
Nchi gan hiyo bosiHata ulaya huwa wanapigwa risasi mchana kweupe mkuu!!
Socialists hawakuendelea si kwasababu walikosa demokrasia.kilichowarudisha nyuma ni sera zao mbovu za kiuchumi.kwa hio udikteta sisemi kua unaleta maendeleo ila nasema udikteta unalifanya jambo lililoazimiwa litekelezwe upesi na kwa gharama ndogo.demokras ina vipengele vingi sana ktk utekelezaji hivo ni vigumu kuleta maendelo.unatakiwa uwe na serikali ya kidikteta ambayo ni pro-development kama ile ya china;rwanda;singapore;makaburu(a.kusini)n.k. Sisemi udikteta ambao haufuat maendeleo mfano zimbabwe,nyerere,Banda wa malawi nk. Kujenga mifumo ni sahihi ila mifumo pekee bila mtu kidete wakusimamia ni bure tu.Kama demokrasia isingekuwa kati ya vigezo muhimu kuendelea basi Socialist countries karibu zote zingekuwa zimeendelea!!
Kitu kikubwa ni kujenga mifumo bora. Rushwa inashughulikiwa na sheria siyo aina ya utawala. Kama udictator ungekuwa unaleta maaendelo basi kuna nchi za Kiafrika zingekuwa zimeendelea by now!! Maana idadi ya madictator waliotawala bara hili hawana idadi ............!!
Ndio vision zake huyu bwana zitavuruga wengi sana.israel wanaendesha uchumi kwa kutumia knowledge.hawana raslimali nyingi kama sisi.rwanda nao wameanza kujiingiza huko.sisi tuna rasilimali.hatuna haraka ya kutumia mfumo huo kwa sasa.canada,australia,afr kusin,zilijiinua kwa raslimali halaf ndio zinaenda kwenye knowledge economy
Misaada ya Madini na vito!Misaada gani !?