Rais Magufuli tunasubiri useme bendera ipepee nusu mlingoti

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
 
Hivi walivyofariki wanafunzi wa Shauri Tanga ilikuwaje? bendera ilipepea nusu mlingoti? Utaratibu uko?
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
Kuna watoto 19 walikufa Shinyanga hivi karibuni na wengine waliungua moto Shauritanga. Na pia kuna tetemeko la Bukoba na maporomoko ya mawe Kahama yakafyeka kijiji kizima. Hii ni kwa vile Lowassa katoa pole fastafasta, au? Kweli utawajua tu kwa hulka zao tangu zamani.
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
kama kwa polisi alienda, basi na kwa hawa ataenda. ndalichako nafikiri atahudhuria mazishi walau.
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
Jambo la msingi ni kuwaombea watoto kwa Mungu awalaze mahala pema peponi, awaepushe na adhabu za kaburi na awapumzishe kwa amani.
Acha kabisa kutaka SIFA eti unamfundisha kazi JPM.
 
Acheni siasa kwenye misiba ya watu. Kupepea nusu mlingoti hakuta warudisha wale watoto. Cha muhimu tuwaombee wapumzike kwa amani.
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
Wewe ulishakana utanzania yanakuhusu nini mambo ya nusu mlingoti?
Watu wako kwenye majonzi,wewe unawaza kiki tu,bendera ikipepea nusu au nzima itasaidia vipi kufuta machungu?
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
nilijuwa kuna watu wata politicize huu msiba ......
 
wakuu habari

Moja kwa moja naenda kwenye hoja. Kutokana na msiba mkubwa uliotokea leo asubuhi kutokana na ajali iliyoua zaid watoto 30 huko karatu.
Nashauri ni wakati sahihi kwa watanzania kusimama pamoja huku kubwa zaidi ni kumuomba rais aamuru bendera kupepea nusu mlingoti kwa kuonyesha kuwakumbuka mashujaa hawa wadogo kabisa.
Nusu mlingot utazifariji familia. ??????
 
Back
Top Bottom